@monsuly2: 💔❤️🩹😣Hivi ishawahi kukuta hii, Yaani unajua kabisa siku hizi hakupendi, Unajua kabisa huyu si wako tena , Unatamani kuachana nae, Lakini Akili na Moyo vinashirikiana, Akili inamuwaza yeye, Moyo unampenda yeye aaaah 🥹🙌🏾💔❤️🩹
Monsuly
Region: TZ
Tuesday 22 April 2025 17:17:49 GMT
Music
Download
Comments
Lizzy650 :
hugs to anyone going through the situation 🥺
2025-04-22 18:50:45
170
Ester Charles :
Sim zangu hapokei na hajibu sms zangu nalia mda wote maumivu ni makali nataman kuhama mkoa na nipo kazn nataman niache kaz
2025-04-24 19:31:24
46
Diana Jobrah :
dio Adi aliowa mwingine nkiwa tu kwake , nliabiwa nkitaka niende yeye ameowa
2025-07-21 14:57:47
0
miss_happy💦💞 :
nd nik kwa situation hiyo mm😭😭
2025-04-23 11:18:09
17
chitoto32 :
ndio kaka ndio hii hali ninayo hadi now yani natamani nimove on lakini nashangaa why siwezi ila anantesa sana 😭😭😭😭
2025-04-24 18:36:20
19
N@@h💕 :
Mbona Kama unasema k2 ambacho niko nacho kwasasa😭
2025-07-08 17:41:05
3
mom paulina 🦋 :
nilichogundua mm kumbe siko pekeangu jamn kumbe tupo wengi eee 😭😭😭😭
2025-04-29 10:16:53
2
Bunda Ngesta :
kama umukubali huyu jamaa like hapa
2025-05-13 20:47:13
4
Angel👸 :
da mapenz shule sasa kwan mapenz ni kit gan mbona sielew
2025-07-20 19:10:56
0
😘THEE MAYA FAMILY4📌 :
iyo ndio hali ninayo ipitia adi nilibadilisha dini kwa ajili yake yeye from being a Christian to a Muslim bcoz of a man i really regret alot
2025-04-23 06:12:16
21
lajoie 💞💋 :
ndo mimi kwa sasa💔💔💔💔💔😭😭
2025-04-23 15:52:38
4
francine mamy :
nilipitia huko nilipata shida san jmn
2025-06-30 22:12:06
1
tannah💋💫 :
now ananiambia am not perfect girl 👀
2025-04-22 20:15:13
25
KahindiArts :
aiseee me nina roho mbaya jmn! yaani huwa naacha mbwa huku nampenda naenda lia miezi3 had nalisahau🤣🤣🤣huy mbwa wa sas sina pakuanzia tu lkn ipo ck
2025-05-04 15:03:49
2
mwajuma tano :
sana kaka yaan maneno yako yananiingia moyoni kweli
2025-06-12 18:18:03
1
martha revocatus :
naumia sana jana kaenda kwao kuoa ajasema naambiwa na watu 😭😭😭😭😭
2025-04-23 05:25:27
52
salmaabdallah3853 :
sometime broo najikaza ila duu so poa natamani nimuache ila na mpenda sana sijuw kwann jaman nimeamua kuwa tu kama nipo au sipo😭😭😭😭
2025-06-04 11:15:49
2
Laeh Traveller :
me mpaka leo kaamua kuniambia ukweli kua KAOA KAKA ACHA hapa sio me yaani 🙏🙏🙏 ila
2025-04-28 15:13:33
2
Jasmine heavens🇨🇩🇺🇬🥰 :
I need a hug guys 😭
2025-07-20 19:25:06
0
princess MIA 🫅🥰 :
ngoja t nikae kimya
2025-07-15 23:35:59
1
elitileya :
me nasoma commet za watu nalia tu make sin ata lakusema nishaumizwa me ten san😭😭
2025-06-16 20:32:10
1
Husna Chapakazi :
una piga kwenye mshono ndugu yangu
2025-06-08 06:46:15
1
saleh khaele :
bro hio ndo hali napitia sahii
2025-04-25 04:53:53
2
💗ë💗m💗m💗ã💗h💗 :
ni ngumu ninazo sky tatu silali nalia tu
2025-05-04 12:35:45
2
Sia kimaro :
acheni ujinga mapenz sio maisha tafuteni furaha yenu😂😂😂 watu mnateseka sana
2025-04-30 11:26:54
13
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.