@eyes.wide.awake: Jana tulikusomea barua ya Mfalme wa Ubelgiji kwa wamisionari… barua iliyofuta ukweli huu kutoka Kwa wazee wetu- Iliyowafanya waamini ili kumpata Mungu iliwapasa wajikane wenyewe na kusahau wao ni nani. Lakini leo tunadai kilicho kikuu ndani yetu… Tunarudi kwenye bahari ya vyote ILIYO ndani yetu- Kwamba sisi ni watakatifu kabla ya mafundisho ya Dini. Kwamba ardhi hii ni takatifu Tanzania/Africa. Na kwamba mbingu haikuwa mbali… ilikuwa ndani yetu siku zote. Mbingu sio Tuzo, ni Mwamko. Na inaishi ndani Yako. Hapa. Sasa hivi Kwenye Pumzi yako. Katika uwepo wako. Kwenye kumbukumbu zako. “Ufalme wa Mungu uko ndani yenu.” — Luka 17:21 Si kwenye mawingu. Si katika majengo makubwa ya kidini. #spiritualtok #spiritualtiktok #spiritualitytiktok #Meditation #meditations #guided #meditation #meditationmusic #meditation101 #meditate #TikTokMentor #opinion #manifestationtips #manifestationtechniques #manifest #manifesting #religionpoisonseverything #tanzaniantiktok #Tanzania #kenyantiktok #uganda #talithakumitanzania #Dar #arusha #Mwanza #fyp #viral #bibile #zanzibar