@glamsheabuttertz: GHANAIAN SHEA BUTTER #kwa #Kwa mahitaji wasiliana nasi 0742829181/0717988866 au tuandikie DM. Faida za kutumia shea butter. 1) Kuifanya ngozi kuwa na rangi moja. 2) Kuipa ngozi unyevu na kung'aa wakati wote. (Ni natural skin moisturizer) 3) Kufifisha makovu na kuondoa kabisa weusi mapajani na kwapani. 4) Kuzuia ngozi kutokuathiriwa na miale ya jua. (Ni best sunscreen) 5) Kuondoa michirizi hata kwa mama mjamzito. 6) Kurudisha ngozi zilizoathiriwa na cream.(skin repairing) 7) Source of vitamin E & A kwenye ngozi 8) Hutumika kama lip gloss kwa wale ambao wana matatizo ya midomo kupasuka. 8)Inasaidia kukuza na kuipa nywele unyevu wakati wote 9) inatumika kutengeneza cream, shampoos na sabuni. 10) Inatibu kabisa pumu ya ngozi( eczema) 11) Huzuia ngozi kutozeeka kutokuwa na makunyanzi (wrinkles) 12)Tumia baada na kabla ya kushave(Ni best aftershave). 13) Inasaidia ngozi kutopasukapasuka(skin cracks) 14. Inasaidia kukuza nywele na hutunza ndevu. Huna haja ya kuhangaika na mafuta mengine yenye kemikali #sheabutter

GLAMSHEABUTTERTZ
GLAMSHEABUTTERTZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 April 2025 08:38:38 GMT
115
1
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @glamsheabuttertz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About