@trtafrikasw: Utajiri wa Afrika: Januari 2025, serikali ya Angola imesema ilikuwa imekwama na hifadhi ya zaidi ya karati milioni tatu za almasi, huku kukiwa na soko duni la madini hayo. Nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika ni miongoni mwa nchi zenye utajiri mkubwa wa almasi duniani, lakini ushindani unaoletwa na kuwepo kwa madini bandia pamoja na hofu ya kuhusiswha na madini ya vita. Sababu hizo zimeelezwa kuchangia kupungua kwa uzalishaji wa madini hayo. #utajiriwaafrika #almasi #angola #tanzaniatiktok #kenyantiktok

TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 April 2025 14:21:20 GMT
12999
546
6
12

Music

Download

Comments

user3038482514876
karis karis🇰🇪🇰🇪 :
local news anchor wanafaa wasome kutoka kwenu si politics Kila saa 😅
2025-04-25 04:04:44
0
kenyanboy117
KENYAN BOY 1 :
♥️
2025-04-25 19:46:17
2
nizadonatian
Mrs G💕😘 :
🥰🥰🥰
2025-04-24 14:24:48
1
ngendasimbasc
NGENDA.7❤️🇹🇿 :
🙏🙏🙏
2025-04-26 12:37:53
0
bahatiasimwedesir2
dieume lodjoma :
🥰
2025-04-28 04:45:30
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About