Shida ukiow mwanmk mweny pesa na wew pia una pesa iyo ndoa haiwez kua stable lazim uyumbe ila ukiwa tajir ukioa Mwanamke maskin atakuogop na kukuheshm
2025-04-30 13:12:19
8
KIBOKO ๐ฆ :
nimejipata ila sitooa maskin maana nilipokua sina hela,maskin hawakunipenda
ila naamini kama ningekuwa tajiri
matajiri wenzangu wangenipenda kama wanavonipenda sasa hivi
2025-04-26 13:20:51
7
@lovely _laidah๐ค :
nakukubali sana kk
2025-04-25 15:52:07
4
@Mk :
Like mar 20 bila kuchok๐๐
2025-04-25 16:59:35
4
dazan greek :
iko waz broo ๐๐
2025-04-28 00:57:36
4
gautizy :
ko hao maskini wataolewa na nani??
2025-04-25 20:06:36
4
Valentino_ :
@kenlorde skiza hii
2025-04-25 16:15:54
3
Billygates Samson :
mkuu umeshamaliza .bro sitojalibu mpaka nitimize kilichoko kwenye damu yangu...โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
2025-04-29 21:04:05
3
Davi :
FACT HAIJALI KUHUSU HISIA ZA MTU NASHANGAA KUNA BAADHI YA WATU WANALETA HISIA APA HIO NI FACT๐ฏ COPY THAT
2025-04-26 13:36:03
3
J boy :
mpaka apo nimekuelewa kka
2025-04-25 21:47:05
3
farhaty :
unapoamua kufundisha watu kitu kumbuka watu maskini hawajataka kuwa maskini so usiwaseme sana wadada maskini. wafundishe watu mbinu za kutafta maisha n sio kuponda watu.
2025-04-26 21:24:30
3
Abbasi Mazuna :
oyaa naku kubari xana mdogo wangu uko xawa mdawote ,
2025-04-26 12:49:11
2
F@๐ค๐ธ :
โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ๐๐๐๐
2025-04-25 15:59:22
2
simba_aluminium :
๐me naoa wa kawaida fresh awa wa kishua natia naacha watt
2025-04-26 16:26:34
2
JESENI :
anae muerewa jamaa like ap
2025-05-28 15:21:20
2
MR.MPOLOKOSO๐ฅบ๐ฅบ๐๐ :
๐ค๐ค๐ค
2025-04-27 09:39:31
2
๐ฆโ๐ฐโ๐บโ๐ธโ๐ด :
Bro endelea kuwapa mapinduzi ya kiakili๐ช
2025-05-21 07:23:22
2
Mwinjilisti Lugendo frank :
tume kusoma familia atakae pinga ujue uyo ni๐๐ฟ
2025-04-28 00:34:02
2
John :
Courage
2025-05-15 19:16:37
2
JC Elias :
God bless you man
2025-05-01 08:46:16
2
damiani swai :
๐ค๐ค๐ค
2025-05-02 14:15:27
2
collins๐๐ :
kweli bro โ๏ธ๐
2025-04-25 19:21:14
2
Elias :
๐๐
2025-04-25 20:22:37
2
eminenceboy8 :
kweli kabisa
2025-04-25 19:41:14
2
Amina juma :
dah kaka hongera san waambie vijan hajui hilo wengine tunatok kweny maisha ambayo dah
2025-04-25 19:31:07
2
Kennedy 001 :
๐ฏ๐ฏ๐ฏ
2025-04-25 21:00:28
2
J boy :
nazingatia san kka
2025-04-25 22:08:21
2
imma classic tz :
fact
2025-04-26 01:45:59
2
SEBASTINO :
๐๐๐๐๐๐
2025-04-25 19:03:06
2
KONDEBWAY๐ :
blood๐ฅ
2025-04-26 05:37:09
2
Yamola Joseph :
moja ya watu wanaonifanya ninunue bando ni hii njemba aisee mitano tena brooooooo