@janreycosmetics2024: Umuhimu wa kupaka sunscreen (krimu ya kujikinga na jua) ni mkubwa sana kwa afya ya ngozi. Hapa kuna sababu kuu: 1. Kuzuia uharibifu wa ngozi Miale ya jua (UV rays) inaweza kuharibu ngozi kwa kuharakisha kuzeeka, kusababisha mikunjo na madoa meusi. 2. Kupunguza hatari ya kansa ya ngozi Sunscreen inalinda ngozi dhidi ya miale ya UVB na UVA ambayo inaweza kusababisha saratani ya ngozi, kama vile melanoma. 3. Kuzuia kuchoma kwa jua (sunburn) Bila sunscreen, ngozi inaweza kuchomeka na kusababisha maumivu, wekundu, na uharibifu wa kudumu. 4. Kulinda rangi ya ngozi Inasaidia kudhibiti madoa meusi na kuhakikisha ngozi inabaki na rangi yake ya asili bila mikorogo au michirizi. 5. Kusaidia katika kudumisha afya ya ngozi Sunscreen huweka kizuizi (barrier)kinachosaidia ngozi kuhifadhi unyevu na kupunguza ukavu unaosababishwa na jua.
je sunscreen ya Cosmo ya njano ni nzuri Kwa uso wa mafuta
2026-06-27 12:30:06
1
Loice jerop L :
ebu nikuulie dada naeza nix tumeric oil na paw paw cream?
2026-04-17 06:17:01
0
Amelda :
Hiv jmn asubuhi hata kama sitoki nipo tu home kuna haja yakupaka au tunapaka tu ule mda tunaotoka kwenda juani
2026-07-31 12:51:02
0
Elly MP :
Naweza Tumia Cleanser ya Salicylic Acid, Na Moisturizer Ya Advanced Snail 92 Na Sunscreen ya Beuty of Joseon Zikanisaidia Kupona Chunusi na Madoa Usoni??
2026-03-27 10:34:28
0
Dear :
unaipaka mda gani
2025-07-06 21:14:39
0
juliey :
aloe sunscreen ni nzuri
2025-07-24 00:06:38
3
Debra Mussa :
sasa nyingine mbona ukijipaka unatoka jasho sana
2025-04-28 14:13:15
1
rosemarytlae :
jamni nendeni mkamuungishe huyu dada hata kama unamatatizo kabla hajakuhudumia unapona mana anakauli nzuri anakuelewesha hata kama hujanunua.
2025-04-28 05:06:47
12
Agness :
mimi sunscreen inanishinda kabisa mimi Nivea mwanzo mwisho
2025-04-28 08:28:43
2
ka💞💞💞nyandarua 💞💞💞 :
nikipaka mikono itafanana na uso dea hata kama niko na knuckles?
2025-06-27 08:19:48
1
Juliana Darabu :
mi sauti yako dah nimeipenda,
2025-05-01 16:23:46
0
official_lizzabeth🥀 :
mim ni mweupe na uso wangu unamafuta je nitumie sunscreen gani,
2025-05-11 12:15:53
0
Patino gee💐 :
Dr vip ihii ni sun sun multi cream nzur uso wang una mafuta na wekundu .. na nikipak sunscreen na toa mda gan kuosha ili nipake poda …
2026-01-17 14:58:35
0
Terry J :
ya bei ya mkulima ipo?bei gn
2025-04-28 16:05:31
0
Nevermind👌 :
hii nimebuy pesa mingi hivi ndio mnajipaka nyingi hivo
2026-05-29 19:58:36
1
official_lizzabeth🥀 :
na ninatumia serum ya DR RACHEL je nitumie asubuh au usiku?
2025-05-11 12:17:13
0
Miss Edna :
ni bei gani dada
2025-05-12 17:30:19
0
Fatma :
Tofauti y sunscreen ni Nini na suncream n nini
2025-05-02 20:43:19
1
Qudrath :
unaweza paka serum peke ake?
2025-05-05 19:51:11
0
🔐🦋fine girl❤️🦋🦋 :
madam samahan nauliz mfano napaka vitu naanz na tone then moisturizer then mafuta alafu sunscreen then kafoundation kadog je nakoseaaa hap
2025-04-29 06:00:45
1
Rehema Munisi :
mm pia nimeshatumia pesa nyingi sana kwajili ya vipako lakini wapi
2025-07-15 22:17:29
2
angie90905 :
kumbe hadi lips?
2025-04-30 06:53:06
0
SheriaTosha :
Mko mwz sehem gani?
2025-04-28 12:23:51
0
To see more videos from user @janreycosmetics2024, please go to the Tikwm
homepage.