i tried mine today was perfect alhamdillah thx for sharing
2026-03-31 16:32:27
0
halimaasuleiman :
hii unaoka kwa muda gani
2026-03-08 06:43:58
0
kotrida🇹🇿 :
shoga kuvunja mayai kwa style hiyo utakuja kupatwa na kitu kizito hutaamini😂😂 unaweza vunja hivo unakuja kuvunja yai la mwisho unakuta limeharibiki aloooh yalishanikuta Sina hamu🙌😃
2025-04-29 10:24:08
8
Cute ❣️ Ruu :
mbona mm huwa inatoka ugal jaman nakosea wap
2025-04-29 04:20:18
1
galaxy.bebey :
Ila siagi jmn so zot znazokubali voo😭 tuambieni siagi gn nzuri jmnyy🥹some of dem wanasema prestige nzur et kwely jmn 😩
2025-04-29 12:38:03
2
Aisha bushuti :
acha ntajaribu
2025-08-21 14:53:35
0
🍂🍁 :
radha gani nzuli na tamu ambay inafaa ktk keki
2026-02-04 17:25:13
0
Nurein :
Tangu niijuwe hii ricep yani alhamdullah nakula keki tabu balaa Asante sana🥰
2026-01-13 14:06:57
1
EPHY :
mbona hujaweka maziwa
2025-07-29 09:56:17
0
Amirant🐹 :
Mimi nimejaribu but Keki ilivyoiva mafuta yamekuwa mengi
2025-04-29 19:19:44
2
Team natural :
Najaribu leo leo mwalim wang nmekupenda unaelekeza vzur....ngoja nku follow
2025-04-29 09:18:59
0
tummy :
Kwahiyo kila kitu ni robo kg sindio habibty
2025-05-26 20:38:36
0
Fatma Hussein :
Nimefanya kipimo hiki cake inakuwa na chumvi au sababu prestige iko sawa na unga?
2025-06-08 23:01:40
1
Brina :
unapikaaa bhnaaa weee🥰🥰🥰
2025-06-17 07:22:36
0
rihna collection msa :
naomba recipe ya unga 750grams mm najaribu ila inatoka sima naeka mayai 6
2025-09-21 05:47:42
0
muna Ahmed :
Masha Allah
2025-07-22 05:31:39
0
Ariana's :
mbn hujaweka maziwa kipenz au siyo lazm
2025-06-21 18:06:30
0
mimah cake and bite :
cocoa ipi unayo tumia nzuri
2026-02-23 19:40:26
0
Aisha bushuti :
kama huna siagi😂 haiezikuwa
2025-08-21 14:28:57
0
Eliza Timotheo :
Kwenye jiko la mkaa inafaa dear
2025-06-24 08:30:30
0
CaTlOvEr'S....🐱 :
Masha allah very nice
2025-05-06 14:43:34
0
armaina :
unga kilo au nusu au robo wengine ayo mambo ya gram ata hatujui😂
2025-05-02 11:56:22
1
Neema kariakoo :
jmn hata sielewagi sukari gram 250 ndo robo au nusu maana hapo ndo ninapofeli
2025-05-01 07:02:06
0
Her.Nutella_ :
Hii 250grms ni robo kilo sio
2025-08-22 11:00:15
0
🌺̨̨SWAMAHA COLLECTION👗👠👛 :
naomba utufanyie keki ya maji ya moto 🥰👌
2025-09-20 21:23:55
0
To see more videos from user @rakasbinziid, please go to the Tikwm
homepage.