Harmonize nae alifanyiwa hivo remember,tusave hii video for future use
2025-04-28 14:48:34
431
Ramazhani M kakozi :
akauzee mayai mwangaa 😂🤣
2025-04-28 21:30:57
170
Mr mali :
Tulio umia dogo kuchanwa makavu na Baba levo tujuane
2025-04-28 21:37:20
182
Jackal :
"Niliwaambia sitarudi mpaka nitoboe"😭😭 tunamcheka tuu lakini hio kauli nzito sana...hajui kuimba kweli🤣 ila Mungu amsaidie afike anapotaka.
2025-04-28 19:06:47
9
OIISH OIISH🫵🏿 :
Dogo uvivu wa kulima tu 😂😂😂
2025-04-28 16:45:51
43
TM_WIZARD :
Uyo dogo Sio Kama hajuw kuimba em msikilizeni hio messag yk katik nyimb then upime kiwango chake msaidieni bhn😂
2025-04-28 15:18:29
21
Arjan🌴💙 :
uvivu wa kusoma aina za nomino na misimu tu 😅
2025-04-28 15:59:41
34
MLENGO :
kakwambia bila kutoboa hawezi kwenda home
2025-04-28 18:14:05
38
Teacha steve :
usinikumbushe achungu ya nomino
2025-04-29 21:35:46
7
𝑴𝒄_𝑮𝒐𝒐𝒅𝒍𝒖𝒄𝒌 :
Baba levo Yuko active kamchana Dogo
2025-04-28 20:23:40
22
Mandoga mtu kazi :
Mungu si athumani Usidharau kma harmonize alivyo tendwa saii yupo wapi??
2025-04-30 06:14:52
9
🦋🌹..I'm..naah...🦋💜☪️ :
uvivu tuu wa kurauka kwenda school 🤣🤣🤣
2025-04-28 17:59:32
19
Official Msanii 🇹🇿🎤 :
kukwepa mashamba tu kijijini
2025-05-03 19:02:12
21
ibn fonte :
SEMA DOGO HAJAEKEWA BITII🤣🤣🤣
2025-04-28 20:53:02
17
exzaud🏝 :
kwan we baba levo unajikuta nin sjui muelekeze huyo dogo
2025-05-08 08:20:04
5
frankjunior :
sasa unamwambia au unamchamba 😂🤣
2025-04-28 20:25:33
6
graciello :
ce petit sera une grande star un jour retenez ça
2025-04-30 10:29:02
14
G STAN MADEVU :
Dogo kuimba unajua hata Baba Levo kuimba hujui pia Mzee Msaidie Dogo
2025-04-29 08:18:34
6
gabriel peter :
😂😂😂mpe buku akalale
2025-04-28 14:53:59
7
Mtakato boy :
Leo una ambiya dogo Hana kipaji, Ila kesho akisha tobowa unakuwa chawa wake kama unavyo kuwa Leo kwa simba🤣baba levo acheni tabiya yaku vunja watoto imani
2025-04-29 06:54:35
13
Benkokind :
Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪njooni hapa tucheke 😂😂😂
2025-04-28 20:19:15
19
𝑩𝒓𝒐𝒘𝒏 𝑺𝒕𝒚𝒍𝒆𝒔 :
The internet never forgets😎
2025-04-28 17:00:20
37
Sam SK :
Shule ni ngumuu
2025-04-28 16:26:35
5
user6513405381696 fermando :
uyu anasumbuliwa na jaha tu
2025-04-28 15:58:41
7
Ismail from🇧🇮🇧🇮🕋🕌Mtulivu :
🤣🤣🤣🤣🤣eti hawez rudi bila kutoboa nakipaj hana😂😂😂😂😂
2025-04-28 14:24:16
16
To see more videos from user @grambyblanco, please go to the Tikwm
homepage.