@oscar_mkatoliki: Atakama Giant katika Vazi la Papa Francis ilimaanisha nini??? #catholic #tmcsmaji8 #catholicschool #catholictrend #oscar_mkatoliki #fyp #views #foryourpage #tiktoktanzania🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #creatorsearchinsights @Radio Maria Tanzania @Fr James A #tiktokpriest @Francois ✝️🇿🇦🇻🇦 @YeMariam DeJesus ♱

Oscar Mkatoliki.
Oscar Mkatoliki.
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 April 2025 21:10:52 GMT
131485
5731
977
255

Music

Download

Comments

gfl2000
Dada G :
Yani msema kanisa Catholic niwachawi ni fre mason tunaabudu sanam ni sawa kila mtu asimame kwenye imani yake Mcatholic mwenzangu TUMSIFU YESU KRISTO
2025-04-29 19:39:33
180
cecilia___john
Cecilia John :
Ubarikiwe sana , catholic forever ❤️♥️
2025-04-29 09:12:34
68
user5404903506723
user5404903506723 :
haami mtu hat watu mtukane vip Roman Catholic forever 💞💞
2025-04-29 14:56:28
20
tony.claud
Tony Claud :
najivunia kuwa mkatoliki
2025-04-29 08:52:24
22
josephinealoyce28
Josephine :
Vitu vya Katoriki vyataka akili nyingi natulifu wa kina ili kuelewa ukatoriki we kama kicha chako ni 0 kaa kwa kutulia Katoriki Daima❤️🌹💯🙏
2025-04-29 10:14:32
43
1234567890cvo
10071905 :
Kaka umeupigwa mwingi, tofauti na wenzetu hawajui maana ya tafakari na mafundisho ya kanisa. Kanisa linatumia elimu kubwa sana ktk mafundisho yake.
2025-04-29 04:58:02
37
isuta.mwangi
mtoto wazamani :
catoliki ndo frimason wakubwa kama amjui sasa
2025-04-29 14:18:19
1
wanjalaemmah
Wanjala Emma :
Asante saaana Oscar mkato
2025-04-29 03:31:28
9
sylvie.com17
N🦋🦋 :
Asante kaka
2025-05-19 10:34:07
1
lmbvandux
Sunivil de hero :
congratulations brother
2025-04-29 06:46:27
13
j..g72
j.g.🇹🇿🇰🇪🇺🇲 :
NAOMBA UNIPE MAANDIKO KWASABABU WEW HAUJAZALIWA HUKO UKIWA UNAELEWA NIPE MAANDIKO YANAYO ELEZEAA HII PICHA
2025-04-29 13:45:33
3
user73142111143391
sanga :
tunashukuru sana kaka
2025-05-10 06:27:06
2
mwanahawayusuphy
mwanahawayusuphy :
Mungu akubariki Oska unatuoa elimu.
2025-04-29 01:53:41
6
trindady0
trin~dady :
mbona unatumiaa nguvu kubwa kudanganya watu
2025-04-29 02:12:09
8
mwendamusah
triple m :
Asante sana kaka...naomba pia utueleze tunapo sema malkia wa mbingu, malkia wa malaika utuombee...haya maneno yako Kwa bibilia?
2025-04-29 01:51:03
6
user5301978659861
Ramson j William :
bro akili yako bado ndogo sana siku ukijua ukweli ukatubu
2025-05-02 21:29:34
0
mark.wetu
Mark WETU :
Wacha kupoteza mda wako kusimamisha kutaa nyuma ya miungu,tetea moyo wako ndugu unapendwa na Mungu kubali kubatizwa Kwa maji mengi na uwanze kunywa maziwa yasiyoghoshiwa Yesu anakuitaji
2025-05-03 12:46:34
0
user3338887754725
monier :
kanisa ni moja takatifu katoliki
2025-04-29 14:41:01
4
katigulah
mee Josephine 🌹 :
bora hataunasaidiaga maana huwa tunasemwasana wa catholic kirstu
2025-05-12 17:30:08
1
sweetie_opy1
💫 Sweetie🩷🩵💫 :
Barikiwa Sanaa kaka🙏🥰
2025-05-20 22:01:05
1
user5532952118144
Ajuna💞🤍 :
eeeeh bora hata umejbu aseee.... naenda kijitetea saa.... Mwenyez MUNGU akubark sana🤌🤌❤️❤️
2025-04-30 17:25:15
2
ansilaasiimwe
Asimwe :
Asante sana kwa mafundisho haya, Mungu akubariki uzidi kutufundisha mambo mengi.
2025-05-03 18:09:19
1
ritha9563
Irene :
Catholic forever 🙏
2025-05-19 17:30:40
1
ziliogma0
user82576119360611 :
nakubali san kaka angu
2025-04-29 20:45:11
1
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About