@tiba.ya.reflux.ac: Replying to @Aishaibrakera #VoiceEffects Kwa nini bado hujapona, hata baada ya kuacha vyakula vyote?” “Umeacha pilipili, soda, kahawa… lakini kiungulia au maumivu bado yapo? Sababu sio chakula tu!” “Matatizo kama H. pylori na acid reflux si suala la chakula pekee. • Inawezekana bado kuna bakteria hai (H. pylori sugu). • Valve ya tumbo (LES) inaweza kuwa dhaifu. • Stress nyingi au kutofanya tiba kamili ya dawa inaweza kuchelewesha kupona. • Baadhi ya magonjwa kama gastritis sugu hupona taratibu hata baada ya kuanza matibabu.” “Usikate tamaa! Endelea na matibabu, tafuta ushauri sahihi wa daktari na fuatilia kwa elimu zaidi hapa. Follow kwa mbinu bora za kupona haraka!”#AfyaYakoKwanza #AcidReflux #acidrefluxremedy #foryou #foryou #foryou #fyp #gerd #fyp #heartburn #heartburn #wellness #VidondaVyaTumbo