@nugaz22: Hata upate matatizo kiasi gani, ugumu wa maisha kiasi gani na mambo yakwame kiasi gani usithubutu kuwaza kujidhuru au kujitoa uhai wako ( Kujiua) Chukua hii kama hakiba ya maneno ya ukumbusho. #nukuuzawema #nasahazawema #ukumbushowamazingatio
Antonio Nugaz
Region: TZ
Tuesday 29 April 2025 12:03:26 GMT
Music
Download
Comments
Adams one :
This life is coming so hard Wallah may Allah forgive us and bless us 😭😭😭
2025-04-29 14:25:34
22
👤 :
Unayo yaongea yanaponya watu usiowajua …inshallah Alah akuzidishie
2025-04-29 13:53:43
18
ya Moussa :
a.w.s
2025-05-04 11:51:46
3
bin abdillah :
mfano ungekua yanga au simba mpk leo .tusingefaidik na hizi nasah zako za dini. leo hupo kule upo huku ndio kweny faida allah akulip khery uzid ktujuz
2025-04-30 11:04:39
15
lilu classic wear :
hay ni meneno yalio fika kwa wakat 😭😭😭😭😭Acha tu hii dunia
2025-05-01 09:03:38
1
ibrahhussein13 :
Allahu khair ♥️
2025-05-08 06:47:47
2
AYUBU@KATORO :
mashaalla ❤️
2025-07-12 15:15:09
1
Shariff4️⃣5️⃣ King Tz🇹🇿 :
Maashaallah
2025-07-22 21:42:15
1
Hbl :
Kaka kaka Allah akupe umri wa kheir na upate husnu khatima inshallah nkukubl ile mbya
2025-04-29 15:01:02
15
Ibn Haroun972 :
mashaallah Allah akuripe kwa ukumbusho
2025-05-01 12:25:35
7
Rk7 :
Masjaaalha
2025-06-13 05:38:48
1
OG"_ORGINAL1990 :
jazaka Allahul khayraaa
2025-07-12 12:30:02
1
pendo Gabriel :
S.A.W
2025-06-28 05:36:30
1
bihalima :
allah allah mkubwa
2025-05-13 04:36:57
2
user302725935079 :
kak kila siku nakuombea fildaus na mwisho mwema kuna sehem umewahi kunisaidia mungu akuoe kila jema
2025-05-18 12:13:13
4
rashidpembe926 :
Kaka hongera una mawaidha mazuri sana Allah aendelee kukupa afya njema
2025-06-13 12:04:00
2
mima :
Amiinn🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2025-06-22 16:01:35
1
Ali babz Tycoon 🇰🇪🦅 :
S.A.W
2025-05-04 11:23:12
2
najma_shabani :
Allahu Akbar
2025-05-01 17:27:02
1
Hassan :
S A W
2025-06-03 11:12:19
1
Hunter-Goktuk :
Allahumma’amin
2025-05-29 06:27:46
1
prince Ronaldo babalao :
S.A.W times 1 Zillion ♥️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-06-14 11:48:58
1
mputamputa197 :
sana2
2025-05-02 19:18:57
2
Balqis :
Allahu akbar
2025-04-30 15:32:39
2
To see more videos from user @nugaz22, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.