Ria inatengenezwa na watu au inatoka moyoni kwa mtu
2025-04-30 07:40:00
36
Ally Ahmad :
ewe mola wetu tuepushe na ria amin
2025-05-01 14:01:40
32
user5166163222706 :
Allah akuhifadhi fi dunia wall akhera
2025-05-01 08:36:50
47
Abdulwahab Mohamed :
Allah😭 🤲 atupe mwisho mwema apa duniani na akhera yarrabi 😭😭
2025-05-10 09:51:44
12
😛😛😛😛 :
Bora huyu shekh nimemkubali sio wale kila mda wako kwa midahalo wanabishania dini badala ya kuongea maneno mazuli kama haya
2025-05-01 21:06:03
16
Victor :
Watumwa wanadaganywa wazidi kua watumwa wa dini za waarabu🤣🤣🤣🤣Wafrika fungukeni macho acheni kulala, hakuna mwaarabu anaweza kubali kupewa jina wala kuabudu mungu wa wafrika
2025-05-02 10:49:52
38
hadija :
ya Allah tuepushe na madhambi
2025-05-01 20:41:05
5
๛42issac42๛ :
kweli ustadh asant kw sadak yak maneno mazur pia ni sadak
2025-04-30 15:50:57
16
DA KAJJAR 🥷💸🎀 :
mwenyezimungu akupe afya njema 🙏🙏
2025-04-30 08:33:25
5
mussa Julius jr :
Nataka kuwa Muislam. nianzie wapi?
2025-06-25 05:17:11
5
black president👑🐐 :
Amna ria ni kutoka moyoni kwahiyo kumtaja mungu atakama ni ria mungu ndio ajuwae ni hakimu bc MASHEKHE wengi ni ria
2025-05-22 09:23:51
9
manyasi boy :
Allah atusamee makosa yetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ya Allah
2025-05-06 05:51:17
9
~ Aminho Jr🙏 :
Allah akbar
2025-05-02 03:28:13
8
nino :
Allah akbar
2025-05-01 04:37:16
6
Jahi Twahi :
Nikweli shehe
2025-05-05 05:13:29
5
hussein nassoro :
Allah atuepushe Amen
2025-05-21 06:00:34
6
saidesumair :
Allah aqbar😭😭😭
2025-05-02 12:40:31
6
makia :
Allah Aqbar
2025-04-30 06:24:53
26
cheu spemba :
Allah 🙏
2025-04-30 11:27:45
9
lucykomba :
Mashallah sheikh
2025-04-30 06:13:30
17
To see more videos from user @abdoulnasri3, please go to the Tikwm
homepage.