@mg.mihdi: #الحياة🌹 لا نحسها😏 الى والخطر 😱يتهددها👑الملك ملك 💎❤️ #والمتشبهون بالنساء# اتركهم يفعلون ما يشاؤون الايام تجري

migri 6 mehdi
migri 6 mehdi
Open In TikTok:
Region: MA
Wednesday 30 April 2025 13:15:57 GMT
151
20
4
0

Music

Download

Comments

nezha.najih
اليقين بالله :
🥰🥰🥰
2025-04-30 13:20:28
0
said.said9474
said said :
✌️✌️✌️
2025-04-30 13:22:09
0
simoroma115
لهما روما ولا نتوما :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-04-30 15:44:30
0
ayoubchawa
ayoubchawa :
❤️❤️❤️
2025-05-01 10:14:42
0
To see more videos from user @mg.mihdi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

KABLA DIAMOND HAJAWA SIMBA! 🦁🔥 Z ANTO ANASIMULIA JINSI ALIVYOMVET DIAMOND KWA PAPAA MISIFA Leo tunamjua Diamond Platnumz kama mmoja wa mastaa wakubwa Afrika, lakini kuna kipindi alikuwa kijana Nasibu aliyekuwa bado anatafuta nafasi kwenye muziki. Kwa mujibu wa Z Anto, yeye na Kassim Mganga walikuwa miongoni mwa watu walioitwa kumsikiliza kipaji chake kabla Papaa Misifa hajawekeza pesa zake! Katika mahojiano na East Africa Radio, Z Anto amesimulia kilichotokea siku hiyo studio. Hii hapa story! 👇 1. SIMU YA PAPAA MISIFA 📞 Z Anto anasema hakumfahamu Diamond. Alipigiwa simu na Papaa Misifa, aliyemwita studio kumsikiliza msanii mpya na kutoa maoni kama anastahili kuwekeza kwake. 2. DIAMOND WA SHIKAMOO NYINGI 😂 Walipofika studio wakamkuta Nasibu akiwa kijana mdogo, mwenye heshima na nidhamu kubwa. Z Anto anakumbuka alikuwa na shikamoo nyingi sana, huku akiwa na presha ya kukutana na mastaa aliokuwa akiwaangalia kama mifano ya kuigwa. **3. “KUCHANA ACHANA NAKO, NJOO KWENYE KUIMBA!” 🎤** Walipomuuliza kama anarap au anaimba, Diamond akasema anafanya vyote. Baada ya kumsikiliza, Z Anto akamshauri aachane na rap na ajikite kwenye kuimba. Pia waligundua alikuwa akiimba kwenye key za juu sana, hivyo wakamshauri ashuke key ili mashabiki waweze kuimba pamoja naye. 4. “WEKA HELA YAKO, ITARUDI!” 💰 Baada ya tathmini na mjadala wa kiufundi na Kassim Mganga, walimpa Papaa Misifa ushauri wa kuwekeza: “Weka tu hela yako hapo, itarudi. Kuhusu skills za kuimba na kuandika, sisi tutajua tunamtengeneza vipi.” Chini ya ufadhili wa Papaa Misifa, Diamond akaingia kurekodi, na safari ikaanza! BONUS: BARNABA CLASSIC PIA ALIKUWA KWENYE RADAR! 👀** Z Anto amefichua kuwa Barnaba Classic ni miongoni mwa wasanii aliowahi kumpendekezea marehemu Ruge Mutahaba kwa ajili ya uwekezaji. Leo anafurahi kuwaona Diamond na Barnaba wakipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa. JE, WEWE UNGEWEKEZA PESA KWA DIAMOND WA WAKATI HUO KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUMVET? 🔥👇 #ZAnto  #DiamondPlatnumz  #PapaaMisifa  #KassimMganga    #insideoutz

About