Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@mlaka58: ماشاءالله حبيبي😍
mlaka
Open In TikTok:
Region: DE
Wednesday 30 April 2025 13:19:05 GMT
366
33
0
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
3.6MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
3.6MB
)
Watermark .mp4 (
3.77MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mlaka58, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
jemalym#kesfetteyiz #cary_ahmet #BegencAhmet #WatanAhmedow #Oguljansoyunowa
DHAMBI DHIDI YA ROHO MTAKATIFU: KWA NINI HAIWEZI KUSAMEHEWA? ✝️ Katika Injili ya Marko 3:28–29, Yesu anatuambia mojawapo ya maneno mazito sana katika Maandiko Matakatifu: “Amin, nawaambieni, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na makufuru yote watakayokufuru; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele, bali ana hatia ya dhambi ya milele.” Lakini, je, dhambi hii isiyosamehewa ni ipi? Kanisa Katoliki linafundisha kwamba si neno fulani tu au tendo moja moja ambalo Mungu anakataa kulisamehe. Bali ni hali ya mtu kukataa kwa makusudi na kwa ukaidi kupokea huruma ya Mungu, kwa kuendelea moyo wake kuwa mgumu kiasi cha kukataa wito wa Roho Mtakatifu wa kutubu hadi mwisho wa maisha yake. Kama Katekisimu ya Kanisa Katoliki (KKK 1864) inavyofundisha: “Hakuna mipaka kwa huruma ya Mungu, lakini mtu yeyote anayekataa kwa makusudi kupokea huruma yake kwa kutubu, anakataa msamaha wa dhambi zake na wokovu anaoletwa na Roho Mtakatifu. Ugumu huo wa moyo unaweza kusababisha mtu kufa bila kutubu na hivyo kupoteza uzima wa milele.” Kanisa, katika mapokeo yake, limetambua aina sita za dhambi dhidi ya Roho Mtakatifu: 1.Kukataa tamaa ya kupata wokovu — Kuamini kwamba Mungu hawazi tena kukuokoa au kukusamehe. 2.Kujitumania kupata wokovu bila kutubu — Kudhani kwamba utaokolewa bila kujali maisha yako ya dhambi. 3.Kupinga ukweli unaojulikana — Kukataa ukweli wa Mungu ambao mtu anaufahamu. 4.Kuwaonea wivu wengine kwa neema za kiroho walizopewa na Mungu. 5.Kuendelea kwa ukaidi katika dhambi — Kukataa kuacha dhambi licha ya kutambua kuwa ni kosa. 6.Kufa bila kutubu — Kuendelea kukataa neema ya Mungu hadi mwisho wa maisha. Dhambi hizi zinaitwa dhambi dhidi ya Roho Mtakatifu kwa sababu zinapingana na neema na wema wa Mungu, na hasa kazi ya Roho Mtakatifu inayomwongoza mwanadamu kwenye toba na wokovu. Mtakatifu Yohane Paulo II, katika waraka wake Dominum et Vivificantem, namba 46, anatoa ufafanuzi muhimu: “Kukufuru dhidi ya Roho Mtakatifu hakumaanishi tu kumkosea Roho Mtakatifu kwa maneno, bali ni kukataa kupokea wokovu ambao Mungu anamtolea mwanadamu kwa njia ya Roho Mtakatifu, kupitia nguvu ya Msalaba wa Kristo.” Kukufuru dhidi ya Roho Mtakatifu hakumaanishi tu kumkosea Roho Mtakatifu kwa maneno, bali ni kukataa kupokea wokovu ambao Mungu anamtolea mwanadamu kwa njia ya Roho Mtakatifu, kupitia nguvu ya Msalaba wa Kristo. Kwa hiyo, dhambi dhidi ya Roho Mtakatifu haisamehewi si kwa sababu Mungu hataki kusamehe, bali kwa sababu mwanadamu mwenyewe anakataa kupokea huruma na msamaha wake kwa kutotaka kutubu. Kumbuka: Huruma ya Mungu haina mipaka. Usikate tamaa ya kusamehewa. Mgeukie Mungu kwa moyo wa toba, maana daima yuko tayari kumpokea mwenye kutubu. Njoo, Roho Mtakatifu, uifanye upya sura ya dunia, ukianzia ndani yetu. Amina! #tiktok #goviral #trending #fypage #KanisaKatoliki
👎 #BAD with 리정 님👍 #LeejungLee @leejunglovesyou #ATEEZ #에이티즈 #GOLDENHOUR_Part5
#amg #mercedes #carsoftiktok #fyp
ТГК: Шпалкин дом #легониндзяго #ниндзяго #legoninjago #ninjago
#unfreezemyacount #viral #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupage #foryou
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy