ebu nitaftie ya mbosso ft jux sing for you full song
2025-04-30 17:40:12
65
Sweet Mangi :
ila mwanangu hujui kuimba
2025-05-02 06:37:47
9
David Rayson :
kweli ume copy miondoko ya Nyandu
2025-05-01 06:28:28
20
Jay am Massa :
maiti mtarajiwa alikuwa anamaanisha nini wadau
2025-05-07 11:43:12
6
Artist Msomi :
Dunia niutoto nilipogundua mm nimaiti mtarajiwa umetisha
2025-05-01 10:39:14
5
Gk :
ibra arudi tu kwa konde✅
2025-05-04 19:00:09
11
MWINYIHAJJ MPOLE🇰🇪🇶🇦 :
DAH YANI UYU DOGO YUPO VZRI SANA ILA MANAGMENT YAKE SASA DAH NAMIONEA HURUMA SANA KIPAJI CHALE KITAKUFA IVYO.
KMANANGEKUA WASAFI ZAMANI ANGEKUA KASHATOBOA
2025-04-30 19:56:36
9
emmatheboy :
toka nimeanza kusikiliza ngoma za huyu dogo leo ndio nimeiyelewa hii ngoma 😁😁
2025-05-03 18:09:04
9
Mustapha Msuya :
mchkue lunya amalize shughuli goma 🔥🔥🔥
2025-05-02 11:52:50
7
James Haonga :
Kula chuma icho toka konde gang🤝👍
2025-05-01 16:14:27
5
966chamungwana :
ibra kwa hii ngoma utaenda mbali
2025-05-07 04:38:22
5
@ms_CEO💜 :
Anajua mpka anajua tena☺️☺️
2025-05-01 16:53:40
8
mwakajumba jr. :
Diamond anataman angekuwa na kifaa Kma hiki. ila kipele Kwa asiekuwa na kucha.