@mr.tanzania1: #tik_tok #ufufuonauzima #Mwana_wa_Mungu #gwajima #TANZANIA #2025 #TANZANIA_MPYA_INAKUJA #fypp #fyp #MAGUFULI #Gwajima #bishopgwajima #happynewyear #bishopjosephatgwajima #gwajimakawe #ufufuonauzimacathedral #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #creator #CreateWithEffects #createforacause @Bishop Dr Josephat Gwajima
MR. TANZANIA
Region: TZ
Thursday 01 May 2025 17:26:55 GMT
Music
Download
Comments
Lenny masiga/26 :
Tupo na wewe mpaka ukawe rais,
Tunakupenda wewe gwajima, kabudi, majariwa,mpolepole , ndugai, lisu na heche
2025-05-30 17:21:20
144
Alex Jasper :
uzuri wa huyu hana njaa
2025-05-31 07:47:22
62
jacklinamani549 :
huyu baba mbona anaongea maneno mazito sana au anakaribia kufa jaman daaaa
2025-06-04 15:11:18
30
MDINGI :
baba sema tuko pmoj
2025-05-31 06:06:34
13
user9284115622253 :
kusudi la mungu juu ya maisha yangu mpaka litimie katika jina la yesu ame
2025-05-02 10:26:31
6
jethro :
kusudi lazima litimie amina
2025-05-01 17:46:37
42
peoples favourite :
maneno yako ya kweli lakini wamekuchukia
2025-05-31 07:22:02
29
Sello philex :
Inauma sana jmn💔mtu akigeuka kuwa shetani inatisha sana
2025-06-29 20:31:00
6
muamuzi ni mungu tu ambaye aliye na haki kwake na kwawanadamu kwaiyo tusichoke kuomba ili nchi yetu ikamilikiwe nawatu wanaojua haki za watanzani
2025-07-05 08:15:21
6
user9614969852402 :
Mungu akulinde kupambania nchi yetu
2025-06-17 15:15:54
6
muddy sadik :
ameen ameen ameen ameen ameen baba yaan ndo imenitokea leo apa nipo kwenye maumivu makal sana nipo kwenye maumivu makal siyo kido mungu nitie nguvu mm
2025-06-22 16:34:03
5
Luche :
Hamia chadema ungana na Heche tuone nchi takatifu ijayo
2025-06-04 20:37:44
8
chimammy💜 :
nikweli wakati wa mungu ndio sahihi
2025-05-26 21:12:40
10
URIEL SERIAL :
ni kweli anacho kisema jaman
2025-06-06 09:40:41
9
mtoto wa mama :
mama samia mitano tena
2025-06-06 07:39:22
7
Benediction :
really person come in really time
2025-06-01 06:45:03
13
injili ya ku relax ukichoka unakaa
2025-05-27 18:21:02
9
sylivester shadrack :
watanzania tunaona kama mungu katuletea magufuli mwingine mungu akupe roho ya ujasr katka kupambania nchi yetu
2025-06-15 18:53:28
5
madam_supplement :
ongea wewe baba tukiongea sisi tutaonekana wapinga kristo😅😅
2025-05-02 04:45:04
13
Jemimamkristo7 :
Kweli kabisa mtu wa MUNGU
2025-05-31 14:13:49
7
MATHIAS MOODY :
dar huy gwajima anaakili san hyu tukiw na watu kam haw 10 kwenye taifa ni safii sana
2025-05-27 12:47:34
10
Sylvia Kivamba :
Mungu wa mbinguni tusaidie naomba nisiwe chanzo cha maumivu kwa wengine
2025-05-01 19:37:11
7
rosemary titus :
Ni kweli na mwingine anasema ameokoka
2025-05-08 09:40:55
7
midala :
tanzania ni nchi yenye machawa wengi duniani
2025-05-03 21:57:53
8
JOHJOH🥰💞❣️ :
Wa Tanzania simameni na huyu mwanaume yule mama atawakadamiza
2025-07-25 13:44:19
2
To see more videos from user @mr.tanzania1, please go to the Tikwm
homepage.