@habo.o0: #بورتسودان_البحر_الأحمر #بورتسودان #الكورنيش

Hiba 💜
Hiba 💜
Open In TikTok:
Region: SD
Thursday 01 May 2025 17:52:38 GMT
3270
102
0
67

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @habo.o0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Replying to @Tina Taina  Ushawahi kukaa chini na kuangalia maisha yako ya mahusiano au ndoa kisha ukashtuka baada ya kugundua kuwa unayapitia yaleyale yaliyomfanya mama yako alie na kuteseka miaka ya nyuma?  Ulisema hautakuja kuvumilia usaliti, ulisema hautakuja kuishi na mwanaume / mwanamke mkatili, au uliahidi hautakuja kuwa mke/mume anayelala akilia? Lakini leo hii upo kwenye jela ileile uliyokuwa unaichukia utotoni. Watu wengi wakifikia hatua hii huanza kukimbilia lawama za kawaida au kudhani ni bahati mbaya tu ya kukutana na watu wabaya. Ukweli wa kiroho ni kwamba, unachopitia sio bahati mbaya bali ni Kifungo cha Damu na Kizazi (Ancestral Trauma Loop). Hapa kuna pointi 4 zinazoeleza kwanini unarudia historia ya wazazi wako. 1️⃣ Mnyororo wa Kiroho kwenye DNA (The Energetic Inheritance) Sisi haturithi tu sura, rangi, au mali kutoka kwa wazazi wetu tunarithi pia kumbukumbu zao za kihisia na vifungo vyao vya kiroho. Kama mama yako aliolewa akanyanyaswa, akasalitiwa na akafa akiwa na kinyongo na maumivu makali moyoni ule uzito wa kiroho unaingia kwenye damu ya kizazi chake. Usipofanya usafishaji wa kiroho unakuwa na sumaku inayovuta wanaume au wanawake wa aina ileile waliomuumiza mama yako ili uendelee kulisha lile jeraha la ukoo. 2️⃣ Laana ya Ahadi na Vifungo vya Maneno (The Vow of Loyalty):  Kuna wakati ukiwa mtoto ulimwona mama yako anateseka ukasema
Replying to @Tina Taina Ushawahi kukaa chini na kuangalia maisha yako ya mahusiano au ndoa kisha ukashtuka baada ya kugundua kuwa unayapitia yaleyale yaliyomfanya mama yako alie na kuteseka miaka ya nyuma? Ulisema hautakuja kuvumilia usaliti, ulisema hautakuja kuishi na mwanaume / mwanamke mkatili, au uliahidi hautakuja kuwa mke/mume anayelala akilia? Lakini leo hii upo kwenye jela ileile uliyokuwa unaichukia utotoni. Watu wengi wakifikia hatua hii huanza kukimbilia lawama za kawaida au kudhani ni bahati mbaya tu ya kukutana na watu wabaya. Ukweli wa kiroho ni kwamba, unachopitia sio bahati mbaya bali ni Kifungo cha Damu na Kizazi (Ancestral Trauma Loop). Hapa kuna pointi 4 zinazoeleza kwanini unarudia historia ya wazazi wako. 1️⃣ Mnyororo wa Kiroho kwenye DNA (The Energetic Inheritance) Sisi haturithi tu sura, rangi, au mali kutoka kwa wazazi wetu tunarithi pia kumbukumbu zao za kihisia na vifungo vyao vya kiroho. Kama mama yako aliolewa akanyanyaswa, akasalitiwa na akafa akiwa na kinyongo na maumivu makali moyoni ule uzito wa kiroho unaingia kwenye damu ya kizazi chake. Usipofanya usafishaji wa kiroho unakuwa na sumaku inayovuta wanaume au wanawake wa aina ileile waliomuumiza mama yako ili uendelee kulisha lile jeraha la ukoo. 2️⃣ Laana ya Ahadi na Vifungo vya Maneno (The Vow of Loyalty): Kuna wakati ukiwa mtoto ulimwona mama yako anateseka ukasema "Mimi nitakuja kumfuta machozi mama yangu." Kiroho hilo tamko linakuwa ni mkataba mzito (Loyalty Bond). Unakuwa umejiunganisha na mateso yake. Ulimwengu unasoma kuwa ili uwe mtoto mwema kwa mama yako, lazima na wewe upitie maumivu yaleyale ili uelewe alichokipitia. Unajikuta unachagua wenza wanaokuja kukutesa ili tu utimize ule mzunguko wa kilio wa familia yenu. 3️⃣ Kuzimika kwa Nyota ya Uzazi na Ndoa (Suppressed Feminine Energy): Ukiona kwenye ukoo wenu wanawake wote au wanaume wote hawadumu kwenye ndoa, au wakizaa tu wanaachwa na kugeuka kuwa walezi pekee (Single Parents) ujue kuna Kifungo cha Kizazi kilichosimamisha sekta ya uzazi na ndoa. Nyota zenu zinakuwa zimefunikwa na giza linalowafanya msionekane wenye thamani mkiwa ndani ya ndoa. Mtu anaingia kwenye maisha yako anakupenda sana lakini akishakuzalisha au mkifunga tu ndoa ghafla nishati yake inageuka kuwa chuki na anaanza kukuona hufai bila sababu ya msingi. 4️⃣ Kwanini Universe Inaleta Mateso YaleYale Kwako? Universe haileti hayo maumivu ili ikuangamize, bali inayaleta kwako kwasababu imekuchagua wewe kuwa Mvunjaji wa Mnyororo (The Chain Breaker) wa ukoo wenu. Yale mateso yanajirudia kwako kwasababu roho yako ina nguvu kubwa ya kiroho kuliko ya wazazi wako. Inataka ushtuke uache kulia kama mhanga na uamue kuchukua hatua za kiroho kusafisha nyota yako ili ufungue malango na kizazi chako kije kuishi kwa amani na heshima. Ukweli mchungu Kulia, kulalamika, na kubadili wenza kila siku hakutomaliza hili dhoruba. Kama Kifungo kipo kwenye damu na nyota yako, hata uende nchi gani au ukae na mtu mpole kiasi gani lile jeraha litamlazimisha huyo mtu abadilike na kuanza kukutesa. Ni muda wa kuamka na kusema sasa basi! Kataa kubeba mizigo na laana za mahusiano ambazo hukuzisababisha wewe. Ni muda wa kuwasha nuru yako na kurudisha heshima ya ndoa na uzazi wako sasa hivi! #tiktoktanzania🇹🇿 #foryou #aquarius♒️ #zoadicsigns #tiktokafrica

About