@abdulqadirtwaburaniyy: #@TikTok Tanzania #@TikTok #@tiktok ZAMBIA🇿🇲🇿🇲 #@Tiktok Rwanda🇷🇼 #@TikTok Kenya #@TikTok Uganda #@Tiktok Congo #@tiktok mozambique #@tiktok Dubai #@Tiktok Oman🇴🇲 #@TikTok Qatar #@TikTok Malaysia #@tiktok Saudi Arabia✅ #@Tiktok Burundi #@TikTok Trendings

abdulqadirtwaburaniyy
abdulqadirtwaburaniyy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 May 2025 19:46:01 GMT
338837
6671
715
994

Music

Download

Comments

bintm175
Bint M :
je ukiota unkimbizwa na nyoka lkn nyoka huyo akushiki inamaansha nn
2025-05-02 08:15:06
7
p.minah2
Nasri mom ❤️ :
shekh m naota San naingiliwa kimwil na aliyekupa mchumba wangu japo tulishaachana hii inatoka na nini
2025-05-03 10:04:43
0
gladyskadzo780
kamamaa :
Mm juzi nliota naua nyoka lkn ikifika time anataka kufa anarudi tena na amerefuka nkimgonga hafi mpaka nikamuacha akienda mm nkatoroka
2025-05-02 18:58:29
0
swabz.classic
swabz classic collection :
Mm nauliza jee ukiota unaanguka Kisha ushtuke usingizini inamanisha nn
2025-05-02 22:52:08
0
mwanaamasanja
mwanaamasanja :
mi naota sana naumwa na mmbwa mara kwa mara ndoto iyo inajirudia naomba nisaidie nijue
2025-05-04 20:16:21
0
siraja.juma
ام ادرس :
nikiota nimeenda kuwachokoza nyoka wakiwa wamelala kwenye mashimo ya chumba changu.
2025-05-03 10:02:01
0
bi.mkubwa7
bi mkubwa :
daaa alhamdulillah nakushukuru maana nilkuwanatafuta ufumbuzi wa ndoto yangu military kapita nyoka kwangu kuniona mm kakimbia baada yadakika akaja nyoka mkubwa kakomaa balaaa nikampiga mpk kafa kasagikasagika allah karim hapo vp shekhe token cku hyoo sijaota tena
2025-07-25 10:10:05
1
karimmabruck
karimmabruck :
Unapo ota nyoka anakumeza ukabaki nusu asimalizie ina maan gani?
2025-06-14 13:20:48
0
sittymdigo
kipaji :
mi nilota napeperuswa juu lakini chini kuna watu wanàifatilia na watu hawo nawajuwa hiyo ni nini.alafu niliota nilichukuliwa kitu kwa mkono ,kitu hicho kilikuwa cha ng'arangera kama dhaabu mkono wangu wa kulia,afu watu baharini wanawaka moto kwa makalio ni nini
2025-05-30 16:33:31
0
mr.ben8892
Benard :
Sheik mm pia naomba usaidizi yako nipate kufahamu. , mara nyingi sana ninaotanga kwetu sana nikifanya shuli nilikua nikifanya wakati nilipokua kijana nikiwa kijijini, lakini sasa niko mjini
2025-05-03 17:09:43
0
asmah_m3
shush :
niliota ňyoka kaniuma kidole kidogo cha mwisho hadi kikafa ganzi kuamka kidole kina ganzi kweli 🥲
2025-05-29 14:23:20
0
mamasada29
Taty🎀💜 :
Shekhe mimi naotaga sana namuona nyoka mw usi na kuna wakati mwingine naota vinyoka vingi na vyeusi iyo ndoto inamaana gani
2025-06-10 10:12:11
0
ayuayu95034
ayu ayu :
shehe naomba namba yako ya what up
2025-06-12 18:28:47
0
saumubashiru
Rujaina :
kaka mm naona mara kwa mara napigana na nyok wa kijani na mweusi lakin hao nyoka kuna mmoja ananisaidia alafu mda mwign wanabadilika kwa sura ya mtu ninae mjua naomba unitafusirie kwa ufasaha shida nn
2025-06-26 15:24:34
0
rehema.athuman.ba
nemshami.mbegu.nemsha :
shekhe mm naota na nyoka mwenye vichwa vingi ananikimbiza😢
2025-06-27 06:17:14
0
shaniseif487
Shani self :
shekhe naomba numb tafadhar
2025-05-07 08:53:19
0
user1145822469102
user1145822469102 :
nitumiye namba yako ndugu yangu tafathali
2025-05-11 03:15:15
0
bi.mkubwa7
bi mkubwa :
asantee umenitua mzigo mkubwa ambao nilkuwa nauwaza lini nitautua ktk nafc yangu
2025-07-25 12:00:23
0
user293712686
Bitebo spear Parts :
Mtu ameota yupo na ndugu yake nyoka Akawa anafata gafra ndugu yake akamwambiaa nyoka uyoo Ina maana gani
2025-06-09 17:53:33
0
user8169821044232ley
ley cuty :
shekhe mm naota nimeolewa na nikiwa nampenz wangu cpati hisia nae
2025-06-05 09:15:46
0
khadija.mauridi
Khadija Mauridi :
Ndoto za nyoka ndio ndoto zangu 😢😢
2025-05-09 15:10:09
2
bintikeya1
Binti Keya :
mi nikiota nyoka uwa nampiga mno adi namuua ila aipiti siku nitasi
2025-06-13 16:33:33
0
mamy5924
aiman :
shekhe mm nimepigana nae nikamua lkn wengne wananifata bdo wanatka kunilipzia
2025-06-15 10:37:34
1
user5771986772323
kiran totolaa kinyaaa6666 :
shehe zamani nilikuwa naota kitu kesho lazima kifanyike, leo naota nasahau kabisa nakuja kukmbuka ata siku yatatu nakuw nahangaika kuikumbuk
2025-05-03 19:28:04
3
haby2185
haby💋💋 :
je ukiota Nyoka anakuchekea shehe iyo inamaan gani
2025-05-01 21:49:47
3
To see more videos from user @abdulqadirtwaburaniyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About