si nipate ata rafiki wa kushibana anitembelee ,nimtembelee,lake langu ,langu lake,upweke na kujifungia ndan kama mzazi utaniua wallah😂😂
2025-05-04 10:31:02
8
GENERAL :
ARUSHA NA MWANZA KUNA WAHUNI BALAA MWANZA KUNA WALE MADOGO WANAJIITA WAKOMA WALIWAH KUNIBANANISHA PAMBA SEC USIKU WAKASEPA NA SIMU
2025-05-02 19:25:40
14
Herry :
Na malay wamejaa sana uko
2025-05-02 14:59:58
8
user2919721443528 :
wale wa mecco majanini tujuane
2025-06-15 06:55:01
7
Marick Benard :
dah wa nundu A 2012 tukutane hapa ja 🥺
2025-05-02 16:43:29
12
Rajob69 :
daaaaah mecco south ndugu zangu apo kitaani leo tupo kwenye miji ya watu tu mbali na nyumbani ila nimefurahi kupaona ki home boi
2025-05-02 10:40:25
9
minah hand bags :
tangu 2019 nakaa mecco mpaka sasa shuhuri yangu ni kuhama nyumba tu yaan ni sijawah kuona wahuni natembea mpaka sa nane
2025-05-02 16:44:55
5
only friend :
alale mahali pema peponi MACHOTA mwenyekiti shupavu kwa miaka mingi sana mecco hapo amefariki mwaka huuu dah jamaaa Alikuwa mpambanaji sana yule mzeee 🙏
2025-05-03 04:01:50
8
monicamkara :
napaogopa sana😅
2025-05-03 20:34:37
1
Ommy jewelry store :
ilikua zaman kipind cha makundi kutokea buzuruga nymbiti mekko nundu
2025-05-02 15:22:09
5
TRAVELLER🛣️ :
Wanangu wa MECCO tujuane Kwa like na comment
2025-06-21 07:11:03
12
Rich_Og' :
Mecco vibanda vya chips nd Ving kuliko aty nyumb za kuish
2025-05-03 12:24:16
6
JAY_SMARTY❤🇹🇿 :
shule yangu jqmn nundu primary school
2026-01-03 23:28:43
1
KENZO OG :
meccoo oyeyyeyyuyyyeee
2025-06-10 07:41:13
2
@gee919 :
nundu mpaka meko kuelkea nyakato sokon
2025-07-29 19:11:25
2
happy💝🩸ness :
jaman WA nundu A 2022 tujuane
2025-06-09 14:11:43
3
Devotha Kidumba😍 :
mnitajie dalali maarufu apa mecco anitafutie nyumba mm mgeni
2025-07-31 09:23:54
1
sashacakes13 :
Hakuna wa Nundu D 2014 humuuu😅
2025-06-03 12:48:19
3
srxcpion :
kuna hao walikuwa wanajiita watoto wa barakoa pamoja na gangamara duh mecco hyoo
2025-06-07 00:46:20
2
kingvaipour2 :
Toroka uje
2025-06-27 16:06:49
1
S_O_S :
Sehemu pekee chipsi huliwaa😂😂😂😂
2025-05-19 16:41:14
1
TARIME girl❤️ :
kwahiyo tunaohishi mecco ni wahuni jmn au
2025-05-02 17:28:36
2
Mectrida Christopher :
hiyo shule ndy nimesoma inaitwa nundu primary school
2025-05-03 23:54:19
4
creator :
we jichanganye ndo utajua wapo au awapo😁
2025-07-14 10:38:43
1
To see more videos from user @mwanza.view, please go to the Tikwm
homepage.