hapo ni mafundi umeme t ndo tutaelewa situation uliyopitia ndugu😂😂😂
2025-05-04 04:26:18
28
Maarifa G :
Mimi sijaelewa power supply rudia tena
2025-05-04 11:39:13
6
Distinct solar & electrical :
nimeelewa power supply
2025-05-03 19:15:45
4
💲💎$TËV£💎💲 :
Mwalim:UMEELEWA LAKINI POWER SUPPLY
Mwanafuzi:EEEHHH..!!!🤣🤣
2025-05-04 05:03:58
7
ramoyu kim :
ila aslay maliwa
2025-05-03 21:12:03
2
al_broumy🇴🇲🇹🇿 :
12V tu hiyo kataka kwenda mbio 😂😂😂
2025-05-04 12:05:47
3
AgriWealth Tanzania :
matokeo ya chatgpt yameshaanza kuonekana,, hongera kwa kugraduate 🤣🤣🤣
2025-05-30 17:11:20
4
kakoozaemmanuel5 :
why are you running
2025-05-04 22:13:07
4
SHM@07 :
Kama ni hivi wanachuo hatuendi veta 🤣🤣🤣
2025-05-03 14:23:30
7
CPA MATOWO :
Tumeelewa mwezeshaji
2025-05-03 21:21:10
2
Ahmada Salum :
apo ukiulizwa jina lako hulijui kwa muda wa dakika kama 5 hadi 7
2025-05-04 13:19:38
3
priva silayo :
mafundi tuambieni kwanini fundi amekungutwa short wakati hajashika waya yeyote hapo
2025-05-04 19:05:20
6
♉️ :
reason niliacha kwenda technical school nilibarazwa na jiko la umeme nkatubu😁😁
2025-05-04 14:05:57
2
Alwattan 20 :
Huyu mwanafunzi ndio kakuelewa zaidi maana umesomesha kwa vitendo hongera mwalimu na kupa Ahadi huyu atahitimu vzri ktk mitihani yke na mwalimu wengine wajifunz kutoka kwko 😜😜😜
2025-05-04 12:24:51
1
Sogone_tz :
veta
2025-05-05 20:21:10
0
EZEKIEL MUNENE :
😂😂😂 hiyo kitu hujiambia kimoyomoyo inatoa malaria
2025-07-11 17:15:28
0
Joseh :
eeh ninii😂
2025-05-13 17:23:34
0
Moshi Tozzo :
Jamaa kaelewa kabla hajaeleweshwa😄😄😁
2025-06-23 00:17:04
0
ALPHONSEPRECISIONELECTRICALS💡 :
🤣🤣Nimelewa
2025-06-04 19:34:05
0
tituslioyd :
we need more lessons of the same bana🤣🤣🤣
2025-05-10 19:48:18
0
buli :
😁
2025-09-10 11:12:53
0
DripZone 👕 🔥 :
hapo mpaka akili imeruka 😂😂
2025-05-03 21:02:27
6
Jay :
😅😅😅😅😅
2025-05-06 09:02:09
2
JA MIGORI✅ :
tumeelewa power supply shingo upande
2025-05-04 07:40:30
3
datius24..... :
kimekulamba😂😂😂😂😂
2025-05-03 21:13:16
2
abdoulmkali :
Aliyecheka kwa sauti kali like hapa😂😂@damwati
2025-05-06 17:44:46
2
sorinpasca620 :
🤣🤣🤣
2025-05-02 10:46:22
2
HomeTwo55 :
umeelewa lkn...
2025-05-07 19:41:39
2
mrkiredio haircut Mafinga :
🤣🤣🤣🤣🤣Ikiwaka unabigwa shot wanafunzi kaerewa had kakabidh vifaaa🤣🤣🤣🤣
2025-05-04 04:30:37
2
achila_soundengineer :
Lesson zingine kwa Kiswahili kuelewa ni ngumu 😂😂😂😂😂 lakini nme elewa power supply
2025-05-06 15:39:10
2
COUNTER :
very sorry bro🤣🤣🤣
2025-05-04 04:16:34
2
said 1 :
Vetaa oyeee
2025-05-04 09:35:31
1
bboe :
@papaa madoro🤟 mkono kwa mkono mpak kweny power supply
2025-05-03 18:33:15
2
Mr KHATIBU 07 :
siumeelewa lakin power saply eee 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-04 17:45:04
1
Black city sto :
power supply 😂😂😂
2025-05-07 06:47:37
1
fazoo :
apo brain imefanyiwa default setting unasikia ule mlio wa computer kuwaka tulituntuuu