@planetmanyanda: Uchawi ambao unavuta pesa kupitia watu #viralvideo🔥 #viralvideos #viralditiktok #fypシ゚ #trendingvideo #fouryou #1000k #spirituality #kenyantiktok🇰🇪
vijana wadogo mnawaza uchawi badala ya kufanya kazi kwa bidii mnawaza utajili wa kichawi uchawi mbaya sana huthulu kizazi chako
2025-05-04 19:33:34
13
armyboydeone :
my mentor 💪 ManyandaAfricanPower forever
2026-03-05 13:59:36
0
AGANAGA. 👑 :
Elimu ambayo haifunzwi darasani.
2025-05-05 14:48:32
3
swaburuzacharia :
Bro unaakili nyingi sana aise!! unajua mpaka hiyo siri 🤣, nilijua tupo wachache wanajua hizo kanuni!!! unatisha sana chief 🙏💯👍
2025-05-03 20:15:57
2
Seba Boaz :
braza vyiyuku hivyo tusaidie na sisi wadogo zako
2026-02-06 07:44:30
0
top Ânes 📸🍫🎀🧸🔐🇨🇩💍 :
nataka kuwa kama wewe
2025-05-05 21:34:25
2
SHAFIIKOMBA :
Nifundishe mm broo
2025-06-10 12:07:00
0
𝕁𝕌𝕍𝔼ℕ𝔸𝕃 ℙ𝔸𝕌𝕃 :
tupe mbinu bc
2025-05-06 15:00:48
0
🇰 🇪 🇻 🇮 🇳 🇪 🇵 🇷 🇴 :
hum ! Kaka mimi Niko Congo Mambo unasema nikweli kabisa
2025-05-03 18:41:49
1
𝐉𝐀𝐘_𝐊𝐈𝐃𝐃 :
mm cy hotelini tu hata geto sibakizagi punje
2025-06-20 18:43:28
0
Emanuel thomas :
mshamba mmojatu kulkakuku yanakutoka yoteayo ayomaisha atamokotakopo anaweza ishi
2025-07-25 20:40:45
0
The billionaire doll :
Mimi hii nilikuwa naisikia ila nilikuwa sijui watu wanapataje ela wakati wao ndio wanatumia ela kuweka sherehe na kualika watu
2025-05-12 22:13:52
1
YANGO BYBLOS :
Kweli wewe ni mwalimu
2025-05-03 13:42:38
2
TEMBO wa tabora :
hata kama ndo ule vzr hivyo jmn onaa
2025-06-18 20:03:42
1
Pastor Amosi :
du unaakili broo
2025-07-17 08:23:53
0
mosha :
kyo ww ninjia hipi ulitumia mana sjakuelew mifumo unayotoa nimingi
2025-06-27 18:36:15
0
Font :
Nishakuelewa zamn nilikuwa naona mtu anakaa kweny kiti alafu anawekewa sinia lachakula haunachumvi wali kweny sini linawekwa juu yakichwa chake tunakula juu yakichwa chake tukimaliza tunamfutia mwilini watoto wadogo ndo wanakula sio wakubwa
2025-06-09 06:36:26
0
Madam Ramona :
😂😂uchawi ni maarifa kama Wewe Apo nakuona upo kazini
2025-05-16 16:05:12
0
van daylan :
duuh nomasana 🙌🙌
2025-05-13 22:58:47
0
Luckydam khamis Adam :
sasa anachkua kwanjia gani mimi apo ndonataka kujuwa kwasababu kama napata elfu kumi na nikatumia mimi mwenyewe uyomtu ananitumiaje mimi ndonatakakuju