wanao amini kuwa sio mda wanapata kazi kwa uwezo wa MUNGU like hapa
2025-05-03 19:05:25
916
ℝ𝕖𝕒𝕝 𝕧𝕚𝕔𝕥𝕠𝕣𝕪🦚 :
Wakati mwingine kazi inakuwa sio mbaya ila mtu anachoka sababu ya mazingira magumu ya ufanyaji kazi hasa wasimamizi wake /viongozi wanaowasimamia ndo changamoto
2025-05-04 04:03:48
157
Bakari Ahmadi :
Afu iyo kauli ya najishikiza daah😂😂😂😂😅
2025-05-04 14:46:46
62
Mmanda :
mpaka watu wa bank wanalalamika😂
2025-05-03 19:03:35
59
cartoon@malone :
exactly hakuna anaeacha kazi 😂
2025-05-03 20:11:08
33
Men in black👨🏿🤵🏿 :
kupata kazi ni kazii 😂
2025-05-03 18:55:19
49
kingi :
ukipata KAZI Fanya KAZI usione KAZI kufanya kazi ukiona KAZI Fanya KAZI ukiona KAZI hayifanyi kazi wacha KAZI uwone KAZI kupata kazi
2025-05-04 19:30:33
29
Dsoundnho :
tulio jalibu kuludiaa na tukashindwa like apaa😁
2025-05-03 20:30:23
32
Salim malley🇹🇿 :
Magufuli alikuwaga anasema hii kazi ya urais ni ngum saana , bora wasingenichagua🤣🤣😂
2025-05-04 18:05:52
22
Ļųćaṣ̌⚙️ :
Duuuuuh we bro ni comedian no 2 TZ 🚩🔈
2025-05-05 13:35:55
12
Ramadhani JR :
kweli
2025-05-03 19:32:36
10
Mogela 07 :
cargo unajuwa san😃😃
2025-05-03 19:38:39
11
🎇Leon@Blaze Paul✨ :
ukishazoea kazi ndio matatizo yanapoanzia apo tu 😂😂😂 kama unaamini weka ata like
2025-05-04 18:27:57
9
Official Ansadat Music :
kazi amboyo huwezi lalamika ni Yako mwenyewe ya kujiajiri bro...💪💯
2025-05-04 16:23:12
11
SKO_CLO :
ACHA HAACHI😂
2025-05-03 18:55:40
14
ETD_16 :
Yaan kama huna kazz. Kazz unayo 🤣
2025-05-04 18:50:04
12
Oga Aliiruwa :
walae umenibamba bro, big ups mkubwa
2025-05-04 05:40:09
10
caryn :
😂😂😂😂😂😂 tafuta kaz ukiwa kazini sio uache ndio utafute hupati
2025-05-04 09:03:56
22
Method kifoka Method kifoka 82 :
kwahiyo ata mimi hii kazi yangu ya ulinzi nibaki nayo tu ety, maana nilitaka kuiacha sababu ya mbu za usiku😂😂😂
2025-05-16 13:27:52
5
Meshack ima :
kumbe kazi ni kazi
2025-05-03 20:25:47
11
Polite_store :
Katika kazi hii nayo kazi
2025-05-03 19:10:07
5
Fauzi🤲 :
kazi ni kufanya iyo kazi ambayo ulipata kazi kupata hiyo kazi😂😂😂
2025-05-03 18:54:15
8
esir :
kaka kweli apo mfn w banki bhnaa dah! jama mmj bank nimekaa nae anasema kazi zetu ngumu hataupumzik lakini achi😂😅
2025-05-03 19:20:02
6
kd_store_code :
Hao ndo wabongo😂😂
2025-07-22 05:59:59
2
To see more videos from user @kago360_, please go to the Tikwm
homepage.