@ally_bba: UWE NA PESA kiasi gani ili uweze kuja china? Hili swali nimeulizwa sana na nimeona sio vizuri kama ntaliacha hivo hivo Hesabu iyo kwenye video ni makadirio, na huenda ikawa ni ndogo zaidi ya hiyo, au ikaongezeka kidogo Lets All win😇 #MAISHAYACHINA #tiktoktanzania🇹🇿 #jadu #viral #trendingvideo #tiktokkenya #tiktokchina #business #businesstips

JADU 🇨🇳
JADU 🇨🇳
Open In TikTok:
Region: SA
Sunday 04 May 2025 09:21:31 GMT
541330
21155
1228
3150

Music

Download

Comments

user3576137498455
Katenkulu :
ukifika unaongea lugha Gani?
2025-05-04 20:27:11
16
bboymikky0
B Boy Mikky :
passport nayo ni beigan?
2025-05-04 14:27:46
20
rauhiyanyange0
rauhiyanyange22 :
ongea haraharaka nataka kuangalia video zingine😞😞
2025-05-04 18:37:02
134
tausimsasi4
tausimsasi :
Nawapenda watanzania 🇹🇿wanaotusaida uelewa wa nchi za nje. Ubarikiwe sana Kakaangu. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿.
2025-06-12 08:20:57
26
rodriguzurassa
RS STORE🔥💪 :
nauli y kwenda ndolazima kuludi majaliwa😁
2025-05-04 17:21:35
95
pambeoutfit111
Pambe outfit🧿 :
Daaah inshAllah mungu atujalie kwa sote wenye ndoto kubwa
2025-05-05 05:55:26
12
shaidanidugange
shaidani decoration :
broo hapo hijapigia hesabu ya kupata dem😁
2025-05-09 20:31:24
9
ravigel4
ravigel4 :
50M inatosha kama mtaji kaka ✅
2025-05-06 10:36:35
9
wisjxjjs123
nbbd123 :
kwani huruhusiwi kubeba mihogo??
2025-05-14 00:14:50
8
ms.dickson23
Melanin.. :
je ukisema usirudi kuna tatizo at ukiacha ticket ipotee
2025-06-07 08:26:43
7
maraguu26
John Maragu :
Asante kak umetusaidia sana sisi ambao tulikuwa na ndoto ya kuja china mi binafsi nimekoma Sina Tena interest ya kwenda china maana 4m aaa wewe mi Bado sana
2025-06-24 13:19:57
5
stoner7139
stoner :
bro sina Mia ila hii elimu sitaki inipite yajayo yanafurahisha
2025-05-08 08:10:37
5
moody_iphone_tz
Mo_iphone_tz :
Ongea haraka haraka nataka nivute bangi
2025-05-04 21:59:02
10
mudrat_1
MUDRAT :
Milo miwili kwani unanyonyesha 😂😂 tunapiga flat
2025-05-05 00:09:41
7
30pipsfxtrader
30 PIPS FX TRADER :
kwa uzur wa magorofa ya china yale...mbona ata nje unalala tyu unabana bajet...
2025-05-04 15:54:35
6
meggahassan
BRX :
asante kwa kwa elimu brother👏👏👏
2025-06-25 14:08:07
6
bettersweet100
scola cute :
Mi natak Unipelek wew 🤣
2025-05-04 09:52:33
5
vanoc_21
Vanoc_21🇹🇿🇨🇳 :
JADU WE MKALI ASHANTEEE SHANAAA
2025-05-04 16:55:26
7
malaikanichola78
Pretty💕 :
mi natamani kuagza Mzigo china ila sijui utaratibu wa kutuma Mzigo kutoka china mpaka Tz nani atanikusanyia bidha nitakazo nunua dukani mpaka bandali maana nitaagiza sehemu tofauti utaratibu pls
2025-05-04 15:37:09
28
saidsalum86
SAID :
suali lipi huulizwi sana 🤣
2026-09-27 03:41:48
1
macalli
McALLI :
biashara ya kutembeza nguo za mitumba inaruhusiwa china
2025-05-19 14:27:20
0
enock_ulimwengu
Enockulimwengu :
vp ukitakaa kwendaa kigoma niwe na shingapi
2026-08-30 21:15:33
1
mahijerabdallah
mahijerabdallah :
unaelekeza fresh sana bro
2026-03-09 07:18:10
2
mussa.dpz
Boyz.Dpz :
passport nikifatilia leoo Ina Isha matumizi muda Gani?
2026-09-30 14:11:25
1
collectionabayarukia
RUKIA ABAYA COLLECTION DUBAI :
nitabeba chakula changu😂😂
2025-05-05 05:11:45
1
To see more videos from user @ally_bba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About