Kama tunawakubali wote mdogo pateni Na sajenti weka like hapa
2025-05-05 11:10:28
1035
🦋🥀it's me farhat 🦋🦋 :
tim sajent tunaongezeka adi raha yaaan 🥰🥰🥰 anauwa sànaaa sem watu hamuishiwi
2025-05-04 16:06:00
575
lizah msonelah :
me naangalia zangu kuchaaa 😔
2025-05-04 17:20:40
38
babe🌸fahyma🦋🌸 :
acheni roho mbaya muacheni mtammaliza roho
2025-05-05 08:35:35
16
DOGO PASWED ✍️ :
dogo anajua watanzania tuache wivu bas tugonge like kwa wote
2025-06-21 11:55:19
7
Denide store 🥶 :
KWANZA kure kwa dg paten tumebanana mwisho Ata tukose pumzi me Nisha amia yas
2025-05-05 07:49:32
12
warda🥰 :
unajua san usikate tamaa kwa maneno ya watu 🥰
2025-07-08 19:48:07
5
pretty greta :
Pambana kweny mafanikio ciyo kila mtu atapenda so fighting to prepare your tommorow and your dreams.mungu awe nawe
2025-05-07 21:34:25
19
mwakadiamond tz :
kama unamkubali huyu dogo gonga like 👍
2025-05-04 16:14:19
147
@nightmarebabe 💫👀 :
big up you do it 🥰🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you
2025-05-04 16:39:41
45
Japhet juma 💥💥 :
kama unamkubali dogo paten weka koppa apo ❤️❤️
2025-07-22 10:33:24
12
G apple🍏🍎 :
tunasema dogo utafika mbali san me mmojawapo nakuombea sana tuu🥰
2025-05-04 19:31:23
58
Moline leonard :
penda chanaa nakukubali uskate tamaa🥰
2025-05-09 05:55:35
12
Elninoo :
kwahy hamn alie ona hizo kuchaa
2025-05-07 19:44:11
14
🎀 Azrim 🦋🎀 :
wangapi tulio tizama makucha 🥺
2025-05-05 19:59:07
5
Phaniwizzy :
Tunaosema Huyu dogo anajua naomba tujuane
2025-05-04 21:13:52
5
𝕏𝔸𝕌.𝕀𝕏 :
Walimwengu 😂 bado anapumua😂
2025-05-04 16:05:40
49
aneth💞💞082 :
pambana maneno yasifanye hasozako kupungua🙏🙏🙏
2025-05-04 19:33:03
6
KINDA TZ :
wanao amin dogo mbeleni ata loga tia kopa hapa
2025-05-04 18:24:28
22
️Jenny💕 :
Sajent unajua na unajua mpaka basi tu duniani kunawatu wapo ili kukatishana tamaa ila usikate tamaa. Endelea ipo siku hao wanakuambia hujui kuimba watakuomba collab na wewe . Pambana Mungu kakufanya
2025-05-05 15:20:10
7
Novia💋✨ :
sa uwe na mpenzi ukimnyima kumnunulia nguo je?
2025-05-04 21:08:20
45
Faynah Bridal&beauty saloon💄 :
njoo nikustiri mdogo wangu
2025-05-04 16:46:47
14
To see more videos from user @mdogosajent, please go to the Tikwm
homepage.