@mr_othman_tz: sheikh Surtani Sharifu Part (2)

MR.Othman_tz📢
MR.Othman_tz📢
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 May 2025 17:27:57 GMT
1167403
62555
2054
23690

Music

Download

Comments

kadya003
Kadya🪷 :
Suratul Fatiha is very powerful 💯
2025-05-05 12:47:32
635
suealhusny2
preetysue :
Suratul Fatiha Mara 17……Ayatul kursiy mara 17…..suratul falaq mara 17……suratul Nas mara 17……suratul ikhlas mara 17
2025-05-05 16:41:06
217
kadiro202020
Babayoo 202020 :
the meaning of muadatayn is the last sura of quran suratul nass na falaq (113 & 114).
2025-05-05 15:17:32
73
ilhamabubakar816
ilhamabubakar816 :
kweli mm nilishuhudia mkaka alimsomea dada yake alikuwa kipofu aliupata ghafla ukipofu alimsomea alhandu mara 1000 kw cku 7 walllah alipona
2025-05-05 13:26:41
116
mr.gably
Mr.galby :
makofi tafadhali makofi tena
2025-05-04 19:14:59
89
user3469072906307
kuluthumhumbe :
mimi mwenyewe nipona ugonjwa wa moyo niliyo ugua miaka 14 alhamdulilah
2025-05-06 07:30:25
79
nancydaniels23
nancydaniels23 :
na mkristo anasoma nini
2025-05-05 18:18:39
18
said_masoftware
Said Yusuph :
tunataka dalili Sheikh acha kuleta uganga wa kienjeji hapa
2025-05-06 07:48:44
20
abdallahissah529
AbouZakariya :
sheikh sema hizi ni sababu za kupona,ila uponyaji uko kwa Allah pekee, akitaka utapona na asipotaka huponi hata usome mara 100
2025-05-05 12:17:36
25
ummuhinna
ummuhinna :
mpk uamini Quran ni shifaa
2025-05-06 11:32:20
7
mwanaamasanja
mwanaamasanja :
hii sira nyingine sijaijua muwaidhatain tufafanulie shekhe tafadhal
2025-05-04 21:23:20
31
fikirik1
FICK JAY :
The Qur'an has many miracles that need faith
2025-05-06 19:31:21
6
abu_iman2021
Malik :
Tupe aya au hadith kuhusu haya Sheikh. La sivyo, hii ni propaganda.
2025-05-05 13:24:29
12
richardjoseph211
Richard Joseph :
sisi wakristo sasa itabidi tuwe na rafiki waislamu ndio teweze kusaidika
2025-05-05 16:34:22
13
shaibu.bankagmail
Shaibu [email protected] :
uislam ni njia sahihi kabsaa..hayo yote ni kweli kabsaaa na nimeshuhudia maajabu hayo ya maji mvua na watu wamepona maradhi makubwa km Figo na sukari
2025-05-06 09:40:27
7
jaylefils3
Jay le fils 🕋🕌 :
shukran Sheikh baba yangu ni mugonjwa nita fanya ivo insha allah
2025-06-14 08:30:52
7
chidy_bo3
Chidy :
mungu atende maajabu kupitia sura hizi inshallah amin🙏🙏
2025-05-05 18:43:24
9
ummuhinna
ummuhinna :
Kuna watu wafanya lakin ana mushkil haito kua mpk uamini ndio utapata shifaa
2025-05-06 11:33:40
5
nyaronagi63
Activist ✊Ny@rOnagi👼 :
wakristo tutasoma gani jamani?
2025-05-05 13:29:41
7
fatma.hussein090
Fatma hussein :
muhudhataini sura gani jaman☹️
2025-05-07 21:08:38
5
uber.rajey
Uber rajey :
muhadhatyn ni gani
2025-05-04 17:58:09
15
alwattan.20
Alwattan 20 :
Zinaitwa "Al-Mu'awwidhatayn" (المعوذتين), maana yake ni sura mbili za kutaka kinga. Hizi ni dua za kujikinga, na Mtume Muhammad (SAW) alikuwa akizitumia sana, hasa kabla ya kulala na wakati wa kuugua
2025-05-04 22:19:26
44
raniyaabass
raniyaabass :
muaditatein ni sur gani?
2025-05-07 16:57:44
5
hamady751
hamady751 :
sheikh muawizataini ninini
2025-05-04 18:14:59
9
saumswaleh8
chimummy♥️🇰🇪 :
suratul fathiha is very powerful Masha Allah
2025-05-05 20:46:13
6
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About