@erickpicson_: Protein ndio Foundation kama unahitaji kukuza Misuli yaani mwili kwa ujumla "Fueling Fitness" #explore #exercise #workout #explorepage #explorepage✨ #gymrat #gym #gym #gymaddict #GymLife #GymLife #tanzania #daresalaam #trainer #GymTok #fyp #tanzania#tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz
ERICK PICSON
Region: TZ
Monday 05 May 2025 06:42:28 GMT
Music
Download
Comments
user6368017563168 :
Nashukuru kwa ushauri
2025-05-05 19:55:27
6
fresh papi :
Facts💯
2025-05-07 12:37:39
2
NTR LYRICS :
me nakula mayai matano kwa siku asubuhi matatu usiku nikitoka gym nakula mawili unanishaurije apo bro
2025-05-06 08:28:01
2
Perfect :
Hapo kwenye mayai ni yote au ya kienyeji tu.?
2025-05-05 20:01:15
2
Billow Mwalim :
Thanks bosss
2025-05-11 20:00:54
2
Bin Thuweiny Nelly :
Sasa kwa hali hii ya pesa ilivokuwa ngumu huku kwetu bongo halafu nilie mayai 12 kwa siku pesa hiyo naitoa wapi😌😖ivo vitu vinahitaji vijipesa pesa😂😌😌
2025-05-07 13:20:51
2
ayenbreezy_ifx :
Ipi bora mkuu kati ya supplements au natural proteins Kama hzo ulizotaja???
2025-05-05 07:13:03
2
Mwenyekiti :
Mayai ya kienyeji au kisasa
2025-09-13 19:18:20
1
Emanuel Nestory Robert :
Ahsante saana Mkuu
2025-05-06 19:53:45
2
Shuu :
mayai ya kisasa ni mazuri?
2025-08-09 05:46:11
1
Josick Charo :
nyama ngani njo protine
2025-06-10 07:28:36
1
user9402617114804 :
yani umeongea kama Yesu nimeamka nikajua amerudi. ngoja ni save hii wasije sema napenda kula kumbe ni somo si uroho
2025-05-28 15:36:37
1
Yunuc :
kaka unajua mpaka unajua tena
2025-07-21 01:36:52
1
lukuman :
asante sana kaka
2025-06-19 07:27:17
1
@wakumbukwe :
broo wew noma san 🤜🤛
2025-09-25 19:39:18
1
Ami_Dj :
Kaka naona unamadini kabisa ngoja niku follow
2025-06-02 20:17:36
1
𝗳𝗴 🦅 :
Kaka aah😂 hayo mayai 12 kwa duh 😂😂😂🤔
2025-05-25 06:59:55
1
NTR LYRICS :
nimekuelew san bro je kidari cha kuku wa kisas vp
2025-05-06 08:26:42
3
#ELIAH💫 :
@Opp91:@Opp91:Bro kuna hii michilizi ina kaaa kwenye bega kamaa unaenda kwenye kifua uwa inasaba bishwa na nin na nina fanyaa mazoez sana uwa kwa mabo
2025-06-20 16:33:19
1
@ADUI :
Madini🔥,cinematography 🔥
2025-05-07 13:45:31
2
Director Dvan :
Shuklani sana kaka nafanya sana mazoezi na uwa naambiwa Nile vyakula vyenye protini ckuwa jua ni vipi Ila leo umenifungua asante nashukulu Sana
2025-05-09 19:51:30
2
Kas kasereka micliare :
brown ebu tuache sisi hatuna uwezo
2025-07-21 08:06:46
1
NTR LYRICS :
ninakilo 70 saiv
2025-05-06 08:28:23
2
Berto TheBody :
Facts💯
2025-05-07 04:52:21
1
Albaswary :
kama kuku mbishi je?
2025-05-11 05:47:21
0
To see more videos from user @erickpicson_, please go to the Tikwm
homepage.