@laughs_on_leonardo: ILA MAKONDA😅😅😅😅😅 Hakikisha Gari lako la Abiria lina Ulinzi Madhubuti wa Bima ya Magari kutoka @nic_insurance @nic_insurance ili usafiri bila wasiwasi wowote. Yessssss @nic_insurance wanakupatia Bima ndogo (Third Party) na Bima kubwa (Comprehensive) kwa gharama nafuu sana. Pakua App ya NIC KIGANJANI au tembelea ofisi ya karibu ya NIC popote ulipo kujiunga na huduma zetu. NIC SISI NDIO BIMA 🎥: @panther_phone_tz Edits: @jaykiporo
Leonard Butindi
Region: TZ
Monday 05 May 2025 06:48:50 GMT
Music
Download
Comments
aza. k :
kama wewe ni shabiki wa leonado gonga like hapa
2025-05-05 06:55:57
2389
layda beauty :
ilo shati sasa mbona kama gauni😂😂😂😂😂😂
2025-07-04 12:58:22
7
user741903792543 :
kama unamkubali leonardo gonna like
2025-05-05 08:09:05
107
mwala_comed :
Konda ana smartphone 😂😂😂💔
2025-05-05 07:26:19
474
@Fag :
🤣🤣🤣🤣🤣 makonda wa kigamboni wamesoma TIA
2025-05-05 17:16:08
90
Salha Sitta :
ila jaman huyu anachekesha kisomi sana kuliko wote au mnasemaje
2025-05-07 20:24:46
47
Kaluu Tanzania :
Leonard hata huku milembe hatukutaki😁
2025-05-05 06:53:49
85
lodinang :
kama unamkubal uyu jamaa gonga like
2025-05-05 06:56:29
79
ELY :
hahahhaha🤣🤣🤣
umeshindikana??
2025-07-08 07:49:40
7
mom latifa🤍🖤 :
sema shati. sasa🤣🤣🤣
2025-06-12 18:40:43
6
stafa muigizaji✈️🇪🇺 :
nikikuona tu najua tangazo tayari🤣
2025-05-07 04:58:15
6
BIZZMAN :
nyie mnasema mapenzi yanauma ivi ushawahi kusahau kuchaji sim usiku alaf asbuhi una safari ya muhimu 😂😂😂???
2025-05-17 00:03:37
10
gaston Bosco :
vitu zangu hizo kufaulisha
2025-05-05 16:53:14
5
Riri🍭 :
usinichekeshe sana na hii mimba😅😅
2025-05-05 18:01:00
8
itsbeka_Picha mbao :
Yaan ww jamaa unachekesha hadi ww mwenyew Unataka kucheka 😂😂😂😂
2025-05-24 08:57:13
8
black n' white :
we io ela wanaokupa n sawa kabisa maan it's a pure talent keep it up mdg ang💯💯
2025-05-05 21:09:55
5
@phales t.z :
ww noma bro
2025-05-30 19:24:32
5
Nonchalant bixoN :
we unajuA sanaaaa🤣
2025-05-06 20:56:32
5
babu 👿🔥cast🦂🌱6 :
kam unapenda mungu like apa
2025-05-05 10:14:31
25
Mohamed :
kaka butindi
2025-05-06 20:04:57
5
rosealbeth :
inauma kupata siti mbele alafu aingie mzee au mjamzito gari zima linakuangalia
2025-05-05 06:56:01
81
🎯C² THOR🔥 :
unafaulishwa na mtu kaishia lapili
2025-05-07 08:47:36
19
Debro_The_Director :
we jamaa wewe
2025-05-05 08:39:52
7
chibulover :
kama alispo umia mtu ndani ya mwaka pesa yangu inakuaje
2025-05-26 16:37:44
6
tyronnie_34 :
ukiona clip ya Leonard jua tu kuna tangazo mwishon
2025-05-05 07:33:55
122
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.