@gademit_jitu1: @wauswaz @Khatib @smart boy @Mdaki @SAM KHAN ⛎

KICHWANI AMNA SHULE 🤕
KICHWANI AMNA SHULE 🤕
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 May 2025 09:38:23 GMT
498706
21801
665
858

Music

Download

Comments

ureji1
Ureji :
Kaka hapo madem hawaendi period 😂😂
2025-05-11 10:10:30
322
armandopereira12
wilewile12✨🇺🇸🇹🇿 :
.... tunduma... ukianzisha biashara ya pedi .... utapiga nazo picha
2025-05-11 19:42:50
243
teamlebron12
Team LeBron :
Utu Uko Wapi Ubinadamu Upo wapi Maadili yapo wapi Wazazi wapo wapi Heshima Ipo wapi Enewei Nauli Mpk Tunduma shi ngapi??
2025-05-15 07:19:32
92
boanergy95
Boanerge :
ni kuendekeza ujinga..uwez acha Akili na starehe kujipimia...stoki nje ya bajeti
2025-05-12 08:23:37
72
deco_133
@Deco_133 :
Kwan tunduma Ndo wap? 😂😂🙄💔
2025-05-12 23:54:27
16
benson.moshi5
Dereva wa Veta :
Siku ya kwanza nilipakia mitumba kwenda Tunduma na ilikuwa mara yng ya kwanza kufika Tunduma, nilipokaribia tu mzani wa mpemba nikashangaa mwili unasisimuka, kilichonikuta hapo Tunduma sio poa
2025-05-10 13:33:31
49
dorrymultipurpose
Dorice mahenge :
my home town❤️chimbuya.always in my heart to stay
2025-05-12 11:36:03
8
serengetiboys
Serengeti boys :
Labd ww ndio unaacha akili zako hapo babu sisi tunakuja na tunarudi na kibunda deile acha kudanganya watu
2025-05-12 16:35:20
30
offical.mayere
##OFFICAL" MAYERE## :
kuma kibao🤣🤣🤣 kuma elfumoja moja apo
2025-05-12 13:27:18
23
tz1.wineboy
#iTboy :
ukienda ukaendekeza ngono hurud na pesa mm naenda na pesa narudi nayo
2025-05-10 20:27:02
27
dibra247
Debora Ngoyas :
Kuna nn jmn 🤨 apooo tuambien tuu wengine
2025-05-12 09:50:06
10
gunjepotel
man sankara :
hamna period kwa madem po
2025-05-12 04:54:28
41
official_nuh420
official_nuh420 :
daah kubabake hapo saiv bora nmpe hela ajenti finished documents niondoke chap kuliko kukaa apo siku mbili 🙌... laki nne ilikata cku mbili nahc kuchanganyikiwa😅
2025-05-13 05:21:29
9
charless854
(Mr African) :
bro sorry namm nataman sana kufanya kaz ya udereva lakin sina mtu kaka
2025-06-22 09:03:53
6
05lovee0
Catie…🫧🦋 :
😂😂 Jmn kwetu kuna nn tena
2025-05-12 09:20:20
16
odmanshuku
OdmanShuku :
🤣🤣🤣 Naskia dawa imekatikana unapita left end hapo
2025-05-09 10:04:57
5
elizabeth.laizer5
Elizabeth Laizer :
mjue sana mungu ndivyo mema yakahvyo kujia
2025-05-14 11:19:29
12
scaniaxt_ke
Scania Xt King 🤴 :
Tunduma kunashinda Malaba Kweli?
2025-05-10 18:20:33
11
user2478339979318
CAPTAIN FAD :
akitoka shetan anafata tunduma awa Wana undugu kabisa
2025-05-10 06:58:01
9
user6193723354628
Mr Ear's 👂👂 :
Kwanza hapo nazani maswala ya pipi kifua ndio yameanza hapo😂😂😂 huo mkoa nimenyanyua mikono nilionekana napenda madem kisa huo mkoa 🙌🙌🙌 TUNDUMA
2025-05-11 20:42:34
16
aidanlemmy
Aidan Lemmy :
kutakuwa na malaya huko
2025-05-08 04:33:55
6
stevenagineryy
STEVEN ✌️ :
Tunduma atali nimekaa wiki tatu nimechoma M😂😂😂😂 Mpemba pazuri sio mchezo 🤦‍♂️🤦‍♂️
2025-12-23 12:26:53
2
umiy696
Umi jey :
Kuna Nini kwani hapo
2025-05-26 17:43:27
0
user5379543181419
user5379543181419 :
tumewauliza baba zetu wakasema Tunduma kuna wadogo zetu😆
2025-07-15 15:39:41
3
netomnyama5
wizzy neto tz🇹🇿🇹🇿 :
babu wewe tu ndo unacha hela gademint sis macho macho
2025-07-24 04:28:40
1
To see more videos from user @gademit_jitu1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About