@madam.sumaiya: #madamesumaiya #fyp #foryou #Afyayangoziyako ,hakikisha unafanya hivi mara2 kwa wiki na itaanza kuona mabadiliko.ngozi Safi laini na bila chunusi
Madam sumaiya
Region: TZ
Tuesday 06 May 2025 11:05:57 GMT
Music
Download
Comments
rouhy ❤️ :
Uso wngu mie nishamaliz dawa na sabuni lkn bado ndio ivoo ivoo sioni mabadiliko yoyote yle
2025-05-09 07:26:43
1
Prisca christopher :
sijaelewa hapo kwa sugar,nimeona umetia chumvi nyeupe au macho yangu nisaidie ni sigar au chumvi
2025-05-09 20:20:24
2
captain G🦋💞 :
jaman mi zangu ni sugu ad nmechok
2025-05-07 21:01:13
3
hudhaifa🩷🌸 :
Kwa mda gan habbty
2025-05-08 16:13:45
0
happy shayvany :
usoni
2025-05-06 20:00:56
1
~ rumakh ~ :
Daw yakovu sugu usoni
2025-05-12 08:05:36
0
Annie🥰 :
ni lazima sukari nyeupe
2025-05-14 17:07:57
0
🦋🦋mwajux🦋🦋 :
chumnv ama sukar
2025-05-09 16:51:21
0
yasinta❤️ :
na ganda la ndz linatoa pia au medanganywa mm😳
2025-05-19 11:07:06
0
Getrude Gerald :
kwahiyo kila ck unakuwa unatengeneza au unaitengeneza unaiweka tu mpk iishe ndo utengeneze ingine
2025-05-09 06:19:36
0
Saada cute😘95 :
inaharbk au inafaa kuwek kwny frij au kil cku ufanye mchanganyik mpy
2025-05-09 14:14:53
0
Ummy Barbie :
sukari ya kawaida inafaa au mpaka nyeupe
2025-05-10 15:11:12
0
Hatun bey :
Vitamin C na kuondoa chunusi hapo imekaaje ??
2025-05-09 08:35:08
0
Rachel Gerald :
unalala nayo
2025-05-10 11:40:30
0
kynleen b'by 💞 :
alichopaka na kilichotengenezwa vitu viwili tofuti au mm macho yangu .😉
2025-05-17 21:06:45
0
Nour chidy 😉 :
hya chunusi ppoo follow more ili kujua zaidi
2025-05-08 12:09:47
1
MAHEER :
vitamin c na b natapat wap au pharmacy
2025-07-14 09:27:14
2
happy shayvany :
makovu inatoa
2025-05-06 20:00:47
2
Rahma Fadhili :
mie tu sisiemi aki kila madawa natumia lkn wap madoa yamekomaa ukitoka kichunusi tu Cha p lazima kiache alama nakutoka ni shughuri igine
2025-05-28 13:46:15
1
habiba Ally 🥰🥰 :
sukar ya kawaida uwezi kutumia?
2025-05-11 13:08:58
1
pricess fetty🫶🫀 :
ahsant nitatest
2025-05-09 04:31:29
1
divine official :
Ni kwa siku ngap
2025-07-06 12:23:39
0
ashullah255 :
Jamani ndizi imenisaidia angalau natazamika nilijua maneno tu lakin nimeamin
2025-07-26 19:25:54
0
Chimamy feysal :
Makovu ya tetekuwang vipi nayo unatumia
2025-07-07 21:38:18
0
mimah :
sukari ya kawaida inaruhusiwa au ndio mpka utumie sukari nyeupe
2025-05-13 08:07:30
0
To see more videos from user @madam.sumaiya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.