@mlundi.co.ltd: NATAMANI NIJIBU KILA COMMENT LAKINI SIWEZI NDUGU ZANGU NAWAPENDA WOTE LICHA YA HIZI HALI TUNAZO PITIA😓😓❤️🩹 . . #officiallommy_36 #brockenboi🥀🥺
anashda ya kushtuka usku na kukimbia kua nae makin asje jizuru
2025-05-26 20:03:33
0
sijue itkuaj :
amnaa simwambiii nibora afeee
2025-05-08 14:43:59
1
. :
hakikisha unamfunika shuka vizuri usiku akilala tumbo lake likipigwa na baridi linamsumbua sana maji ya kuoga mchemshie yawe makali sana siunajua baridi hii pia uwe unamfanyia masaji mara kwa mara akisusa kula plz🙏😭 mbembeleze ale tumia mbinu yoyote coz usipombembeleza anaweza maliza wiki hajala chochote🙏
2025-05-08 18:03:47
11
Rose Amir :
ambao hatuelew chakucoment tujuane
2025-05-12 13:43:02
0
nuru diny :
jaman nauza Figo nitafutieni mteja
2025-05-27 01:12:57
0
innocent Giant :
nimeamin kunawatu wanaish namioyo yawatu😢,poleni sana mungu awape wepesi
2025-05-26 22:31:41
0
vision :
natamani niichukue maana yule mtesi wangu
2025-05-12 16:27:02
0
ida :
baada ya kuandika nimeishia kucheka ka fala😂X wangu ee lolote likukute tuu😊😀🤦
2025-05-15 17:10:32
0
Silent 🤫 killer 7745 :
Hi tuko wengi mamaaa😢
2025-05-09 15:29:17
0
Wizz nine🔥 :
Bola sisi kojoa sepa hatunaga stress😂😂😂
2025-05-27 11:10:58
0
Dimpowz Bae :
ana ugongjwawakusahau haraka please muelewe🥺🥺
2025-05-09 08:42:32
0
Queen chichi :
sawa 😂
2025-05-08 18:49:39
0
A B :
hii nyimbo inaitwaje jaman
2025-06-29 15:42:09
0
samira🥀 :
Umesahau siyo kifua ni kifafa 🤣🤣🤣
2025-05-07 09:06:27
27
kababy ❤️ mish :
wish ningekuambia but love continue resting in peace dear nakupend😭😭😭😭
2025-05-07 16:24:35
24
dada ❤️wa hosiana 🥰🥰❤️ :
🤣🤣🤣 nilitaka nmtumie hii Crip sasa han smart phone 🤣🤣
2025-05-07 12:56:19
23
loveness j :
nimejikuta machoz yanatoka2
2025-05-07 18:17:20
15
Nsuwi the boy :
YAAN MAPENZ BWANA SASA UNAMKUMBUSHA JAMAA AMWAMBIA AVAE SWETA ALAF USIKU ANAIPIGA KILA SIKU MBUNYE YA UNAEMPENDA KAAA!!! CWEZ MIM AKAFIE MBELE
2025-05-07 05:34:05
9
mali safi :
mtu anakuacha alafu anakwambia ati niahidi kama utakua sawa😂😂
2025-05-09 18:55:49
6
m2 makni😎😎 :
umetisha my brother
2025-05-06 19:10:19
12
🦋mamy🍓🇱🇷✅ :
anamatiz ya kugeuza viatu uwe unamuangali akitoka😒😒😒
2025-05-08 14:18:52
5
Tamarah 💜💜💜 :
na pia hapendi food baridi please 🥺🥹
2025-05-07 14:58:50
4
mkaka🌝 :
kana pneumonia chunga kasikufe ninako hako tuuu 😔
2025-05-07 14:27:27
3
aminy :
nimejikuta nimekumbuka mbali katika mahusiano yangu ya zamani kama nimetonesha kidonda vile
2025-05-07 21:23:58
4
THE MOTIVATOR FAMILY❤️🙏 :
Umefanya nilie wewe uliye naye mlinde pia usimpigie kelele
2025-05-08 05:59:53
1
🦋 KAMBA BAE FAMILY 🦋 :
😂😂😂😂
2025-05-08 03:24:08
1
MUHARAM :
kama wewe ndiye uko naye sasa 😊 Nakuomba kuwa makini mwizi uyo
2025-05-13 11:02:56
2
River man :
daah umeuwa sanaa💪💪
2025-05-08 10:28:55
1
princess Irene 😘🥰 :
simkumbushi wal nini muache afe manina zake🤣🤣🤣
2025-05-07 17:41:43
1
chelsb🎮🎱⚽🏑 :
single people say hi
2025-05-12 07:13:42
2
💞De' Mixmouser❤ :
Naomb uwe unamkumbusha kula kwa wakat maan anakuw busy san had anapitilza mda wa kula naomb unisaidie kwa iloo please maan nilifany iv had pale alpoamua kuondok bila taarifa😥😥😭😭
2025-05-20 07:27:18
2
Sitty vijora Brand :
ana tabia ya kununa plz sema nae kwa upole
2025-05-09 08:39:22
3
exavery31 :
kaka unajua sana 💯💯💯💯
2025-05-06 17:49:57
2
Fauster Rugemarila :
Akumbuke pia hatumii vitu vya mafuta mengi
2025-05-07 08:27:11
1
joyfull✨ :
duuuuuuh 😭😭😭 maji ya baridi hua haogi pia usisahau kumchemshia chai ya karafuu iriki mdarasini na mchaichai usiweke tangawizi hapendagi kuwashwa😭😭😭 mfunike vizuri usiku sawa😭😭😭😭🤣🤣🤣
2025-05-18 18:29:24
1
NGOSHA MWEUSI🫶 779 :
HIZI NYEGE ZANGU SIJUI NITAMWAGIA WAP 🤔🤔
2025-05-09 16:40:58
0
nasra :
anamshono plz usimuache na baridi😭😭😭
2025-05-10 11:32:59
2
Abuu Kiputa :
masweta bei karume 🤠
2025-05-08 00:12:12
1
Ëlvïs Bukhëbï :
🤣as a young lady ukiongelshwa inafaa matiti Iangalie mtu anakuongelesha na sio viatu
2025-05-13 15:57:41
1
Nick Name :
Ashura usisahau kuweka salbutamol amnofilini ndani ana pumu huyo
2025-05-26 11:42:33
1
♏️🌺꧁ 𝓜i𝓶ah꧂🌺👒🎀 :
Sio matatizo ya kifua anakifafa😂😂😂😂😂💔
2025-05-09 16:13:43
1
Swabaha :
😂😂😂😂mbon umeniambiy mimi x wang anamtatz ay kwel😂😂😂
2025-05-07 17:24:43
1
🔱♋Đ₳_₲ØⱠĐɆ₦👑Ø₲⚜️🔱 :
naakufe na kifua yake uko🤣🤣🤣
2025-05-08 15:25:26
1
Nercy Majj :
uyu ananambh mimi kabsa😢😢😢Mungu anisaidie
2025-05-08 15:19:16
2
JULIAN🐵 :
mwambien asimpigie sm mamaang
2025-05-09 17:47:58
1
Abyou_.22 :
Sweta mimi mwenyewe kaka 🤣
2025-05-06 21:51:26
1
Agogo Jr :
@Abyar make up artist🥀 jitahid kuvaa nguo nzito..... baridi c nzuri ndani ya Afya yako👏👏 more life🤕
2025-05-08 12:27:14
1
angel juma🥰🥰🥰💞 :
mkumbushe awe anaacha ubishi ndo hivo t
2025-05-07 10:32:50
1
{Mjukuu wa Gao❣❣👑} :
acha akufe na kifua🤣🤣🤣
2025-05-11 19:08:03
1
MAESTRO NÁPZ :
na pia hapendi kukula chakula baridi plzz.
2025-05-21 21:59:31
1
Elieth Gaspary :
naniiiii tafathali usinifundishe chakumfanyia x wako, nikiamua naweza hata kumuua🤣🤣🤣🤣
2025-05-08 10:33:34
1
Bea official Tz :
Wallah Tena .. 😔💔🤲
2025-05-09 15:17:39
0
avoid being quick to judge :
nani anakufa kesho aniambie nimspoil the kuanzia saa hiii
2025-05-09 15:15:14
0
anethdauson837 :
😢 nataman nipate mweny ugonjwa kama wangu huenda hatoniona wa ajabu
2025-05-10 10:55:22
1
officialmpole✨️ :
Speed😥😥Wanaojuwa huyu jamaa anamaanisha Like zake hapa
2025-05-10 16:32:59
0
lukumoson MP maina 17 :
Hali gan mdogo wangu mbna unapenda kujiliza wakat ata hujateseka wapo wakusema Hal we bado unapata nahela ya bando afu unalia Hali kwel🥺🥺
2025-05-10 17:46:16
0
To see more videos from user @mlundi.co.ltd, please go to the Tikwm
homepage.