@midwife_kim: Safari Nzuri ya Mama Kujifungua kwa Mara ya Kwanza Safari ya ujauzito wa kwanza ni ya kipekee, yenye mchanganyiko wa furaha, hofu na matumaini. Kutoka siku ya kwanza ya ujauzito hadi wakati wa kujifungua, mama hupitia mabadiliko mengi ya kimwili na kihisia. Kazi yangu kubwa ni kumfundisha mama kuvumilia, kuwa na imani, kuwa mtulivu,kujitunza, na kujiandaa kumpokea mgeni wake. Hatimaye, anapojifungua salama, ni ushindi wa upendo, ujasiri, na uumbaji wa maisha mapya. Hakika Mungu Ame fanya #juliuskimaro #waterbirth #midwife #delivery #kujifungua #tanzaniantiktok🇹🇿 #ticktokkenya🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼 #kujifungua

Julius Kimaro
Julius Kimaro
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 May 2025 09:31:18 GMT
1050581
39915
1653
907

Music

Download

Comments

lingardnr14
Lingardnr :
Wenye wivu tujuane uwezi mshika Ivo mke wangu aisee 🤣
2025-05-07 10:38:50
367
editha_3246
Editha🦋 :
sorry Dr.,nakunya ndani ya maji wakati wa kujifungua unaruhisiwa🥺
2025-05-07 13:12:31
74
lunciouszenia488
lunciouszenia488 :
nitazaa watoto wangu wote salama bila operation wala shida yoyote kwa jina la Yesu
2025-05-27 19:31:25
258
rose46085
Lucie :
Nime miss kale ka usingizi ka uchungu😅😅🤣🤣🤣🤣
2025-05-08 10:06:55
47
sweetstitchcrochet7
️L♡♡Pea🧶Crochet. co :
mkunga nimempata ,bado tu kupata mimba😹
2025-05-07 13:03:33
117
triphoniajovini
@triphniajovini1 :
ungekuwa dar jaman si ungekuja nizalisha jaman
2025-05-07 09:47:09
9
kabugaclair
Claire Kabuga :
wewe uko sure huyu hataenda kwako badala ya kwake😂😂😂 mm ukinitreat ivi tunahom
2025-05-07 10:13:33
44
_cindythe1_
Cynthia | Mama A_Twins 🌼 :
uku Kenya kazi ya madaktari ni kutuambia kwani ni mimi nilikupea mimba, panda kitanda 🙄
2025-05-09 08:04:28
36
lrenethobias
nyambita 🥰 :
mungu wasaidie wa mama wajawazito wajifungue salama
2025-07-18 05:22:45
6
madame_boss24
Lanter@2905 :
duuuuuh Bado sijakusahau we doctor ulivyonisaidia Mungu azidi kukupa nguvu uzidi kuwasaidia wanawake 🙏🤗🤗
2025-06-03 16:14:44
11
aisha.baby328
Aisha baby 🦋🦋 :
nataka nishike mimba nyingine nimemisi kuvua nguo mbele za watu😂😂😂😂
2025-07-01 08:59:22
8
chikithoya
Esther Thoya :
ukifanyiwa cs mara mbili waeza zaa kawaida kweli?
2025-05-07 11:38:52
8
blazelit4
Blazelit🥰🌟 :
huku Kenya unaambiwa panua vizuri venye ulikuwa umepanua ukifunga macho 😭😅😅
2025-05-07 16:21:34
19
noreen2281
Noreenmtui :
kwa kubembelezwa uku na doctor ntajikaza nisijifungue mapema😂😂
2025-05-08 11:40:58
13
jacklineclifford
jacklineclifford1 :
hivi wanaume mnajisikiaje mkiona mwanaume mwenzenu amejitolea kuwapenda wakezenu namna hii🤣🤣🤣
2025-05-26 15:19:38
5
naidy396
Didi🤎 :
Nikajua mkewe madaktari wanaume huwa na roho ya upendo sana hongera kwa upendo🥰🥰
2025-05-07 13:07:59
92
mary_wambui42
Golden Heart❤️✨✨ :
Doc Mungu AKUBARIKI na akuzidishie miaka
2025-05-08 14:38:23
11
yammy861
Ammy ake🤳 :
Mungu akanene nawewe unae soma coment hii muda huu na akupatie uzao mwema sema Amina 🙏
2025-05-10 17:26:01
23
alishia_official3
Kanyambu ga Kirinyaga :
aki ukinitreat hivyo nakupea immediately 🤣🤣🤣
2025-05-07 17:14:31
74
mercy55255
mercy :
this is not real labour pain.....haki what i went through,,,, only God knows...am still thinking whether I'll go through that again
2025-05-07 11:37:17
31
wardajohn486
Evody🐾 :
Mwenyezi Mungu akutangulie ktk kujitolea kwako
2025-05-07 09:48:00
18
emilyauma466
emy :
wale wa kupupu pia wanatumia hii maji
2025-05-11 13:29:47
7
khadijafungo
khadijafungo :
mwenyezi akutunze uendelee kutuzalisha vizur
2025-05-07 19:50:36
5
sarah.deusi
Sarah Deusi :
dr mimi nimekupenda sana kwa huduma yako nzr
2025-05-07 14:44:17
6
miss.meg67
Miss Meg :
ua uko wapi nikipata bol nikuje aki
2025-05-07 17:18:35
5
To see more videos from user @midwife_kim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About