Frequency ni masafa ,ili upate kitu chochote lazima uamini kua unacho tayari kwa masafa ya juu sawa na kitu hicho.
2025-05-07 17:06:25
7
Dr kajigo :
naelewa sana hii
2025-06-09 18:00:00
1
sunchuks :
body frequency and introspection are the part and parcel
2025-05-15 20:10:15
2
zaituni :
its true br🤣
2025-06-08 10:57:40
2
jackwacosi :
hebu twambie hela za halali zipo kwerii
2025-06-29 02:38:36
1
Bob :
Sasa ni kwanini mtu unakuwa na low frequency
2025-05-25 01:45:20
1
Tedy :
nifanye nn ili kupandisha
2025-06-07 19:58:25
1
ahyan :
kiufupi high frequency ni taaluma,elimu au skills ya mambo ya giza
2025-05-25 10:02:18
2
chieframaa :
asa tufanyeje ili tupate izo frequenc mbona kama mziki mnene
2025-05-14 18:12:33
2
Kasto Mwanyakyula :
Hii elimu ni sehemu ya ukombozi kwa mtu mweusi, kila mmoja akisimama kivyake hatuwezi kufikia malengo, fanya mpango uunde group la Whatsapp 0782779150
2025-05-13 08:16:45
1
Jimbi :
bro bado hujui jifunze zaidi, frequeency au mrindimo ni fikra chanya ambayo inachagizwa na upendo binafsi, upendo kwa wengine na kuacha kujaji wengine etc just to mention a few hayo ya LAINI sijui umetoa wapi
2025-05-29 11:42:26
1
Eduardo Moises :
nawezaje kumiriki kiumbe mkuu
2025-05-09 10:36:29
1
Tile :
ila unakuja kwenye njia ila mikwa pesa nikiishiwatu nikjisemesha moyoni napata mchogo
2025-05-08 07:10:22
1
user7225451811234 :
bonjour
2025-06-06 08:11:24
1
skills the pain :
nimekupata bro
2025-05-07 14:14:12
0
caiser The great Tz :
nimekuelewa mkubwa sasa tunapandisha vp friqwence iwe high
2025-06-25 22:11:45
0
muhidini :
wew jamaa wew Bado unaelim ndogo San soma kwanza ndio uje kuongea na walimwengu
2025-06-15 11:58:23
0
MAISHA NI SIRI 🇨🇩🇿🇦 :
nakuelewa bro
2025-06-29 14:20:47
0
fadhilimasenza :
pia ukiwa na high frequency nikiongea kwa sauti ya kawaida anasikia
2026-05-05 14:38:40
0
DJ coco :
nime elewe déjà
2025-07-10 22:04:01
0
MAHEKA :
nimekupenda na nimekuelewa
2025-07-04 16:25:34
0
Josephat Madaha :
tufanye nn ilitukuze freqwensi zetu
2025-05-07 16:42:32
0
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm
homepage.