@mwinyiamiraboubak: Utajiri Upo Katika SALA Dhuha Ukiwa Hapa Sema Maneno Haya X40 - Sheikh Walid Alhad #jumaa #darsa #mwamba #darsa #filme #loveyou #kitui #jarida

Abuubakari1
Abuubakari1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 May 2025 14:26:50 GMT
503358
26209
368
12653

Music

Download

Comments

islamic_motivates_speker
islamic speaker ☪️🕋 :
tunawo mkubali shekhe walid tugonge like
2025-05-09 18:10:18
115
mrs_saggaf001
Nas❤Nab 🌹 :
Rabii zidni ilma ,warzukni fahma, wayasirli fii rizki, yaa baswit 40 times (kwenye sijda ya mwisha )
2025-05-07 22:54:12
277
mwazinarajabu
Kaguo Kamshighe :
@Al Reyna 🌹:Rabii zidni ilma ,warzukni fahma, wayasirli fii rizki, yaa baswit 40 times (kwenye sijda ya mwisha )
2025-05-08 08:39:27
104
user3130391271242
Asha :
hii swala inaswaliwa saa ngap
2025-05-10 14:40:52
7
nasha0028
Nasha002 :
wakati gani sheikh
2025-05-10 10:30:18
0
abdunasibrahim
Abdunas Ibrahim :
muda gan wakuswal swala hiyo
2025-05-08 04:40:38
10
user6605922471831
user6605922471831 :
muda maalum wakuswali dhuhaa
2025-09-21 14:24:14
0
mwana.mussa
Mwana Mussa :
shukran nilikuwa nasema yabaswit tu nashkur shekh kwa kunieka sawa
2025-05-07 16:32:58
9
ys_mordaus
Ⓜ️ørdãüš🫧🫧 :
apo mwishon ni yaabaswiq au yaabaswit???
2025-05-08 13:17:51
6
hadijalusahila
djaa :
hiyo swala nimcha sangapi
2025-06-18 19:24:41
1
awissasenior
Awissasenior :
Tupe na dalili, ama mnabuni tu🤔
2025-05-12 13:51:57
0
mauwa.bakari
🌷🌹🌹OFFICIALLY ARTAJAINAH🌹 :
sijui kutia nia ya dhuha nifundishe
2025-08-01 13:28:51
2
mjuuwababu3
MJUU WA BABU :
Rabii zidni ilman, warzukni fahman, wayasirili fii rizki yaaa basir, yaaa basir yaaa basir yaaa basir Yaaa basir
2025-07-02 10:45:08
7
emarald_thamy
Ummi-thamrat :
Rabbi zidni ilman wa ruzuqni fahma wa Yassirli fiy Rizqiy Ya baswit 40x
2025-09-29 11:43:55
13
mchumah
MCHUMA :
@Al Reyna 🌹:Rabii zidni ilma ,warzukni fahma, wayasirli fii rizki, yaa baswit 40 times (kwenye sijda ya mwisha )
2025-05-08 07:45:05
7
shimafuad0
shimafuad0 :
Nina kawaida ya kusali dhuha alhamdulillah basi kuna, siku nilienda scheme ikafika muda kama kawaida niomba kusali basi nilipomaliza walinishangaa Sana kwa nini nimesali muda Bado ndio kwanza saa nne tena wako serious. inability nipate muda kuwaelimisha kuhusu seals ya dhuha. wanawasema hawajawahi hata kusikia imebidi niwashangae Sana Sana.
2025-07-12 12:43:34
4
user4792357694845
Amisa binti Rashidi :
shukrani mwalimuwa gu
2025-07-03 18:44:30
2
omar.suleiman125
Omar Suleiman :
swaali wewe Uwe tajiri au wewe utaki utajiri.
2025-05-08 12:48:49
5
business.woman1234
user4497707420116comfused jazh :
unaswali vp kama swala hizi za kawaida
2025-05-10 07:47:56
1
fauzianyahi
fauzianyahi :
Amiin
2025-06-29 16:18:12
1
karimjafari60
Karim Jafari :
Shekhe Waridi nakufatilia sana Mwenyezi Mungu akuzidishi kila la kheri na akupe afya.
2025-06-25 06:49:28
2
dija12360
dija :
Hakika kila kilicho andikwa kweny quruan kiko mjarabuu
2025-06-24 11:19:22
2
ibouba_47
Ibuba_47 :
Kwani hatuwez kuomb kwa kiswaili
2025-07-14 05:56:43
2
allinonefashionsboutique
allinonefashionsboutique :
Sheikh ya baswit ndio unarudia mara 40 or rabi zidni ilma yote mpaka mwisho mara arubaini
2025-05-29 17:35:47
4
bakarimbelwa
dr kidyaunga :
Kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 kamili mchana mwisho.
2025-05-08 07:54:45
3
To see more videos from user @mwinyiamiraboubak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About