amjui kuigiza chakula iko kisingekuepo mezan ya walikaa Befofe walikaa apo kila mtu kwe chakula chake alaf ndo mkaanza kuigiza 😂 ilitakiwa ao kina kenge wanakuja we ndo unamwita muhudum alete chakula
2025-05-11 20:46:56
3
DOGO SHAKING :
na mimi najua nisaidie please😅
2025-08-11 19:56:14
1
Fatee💦 :
Apa c nash park apa
2025-05-17 06:48:33
2
babyzara :
ira we kaka uwa one na wengine mana una saidia wanaume tu
2025-06-12 14:29:04
1
@mariyam muhammedd&0 :
tajiri nakuomba unisaidiye
2025-07-12 10:22:38
0
ASHA IDDI :
tajili unapatikana wapi wewe
2025-05-09 21:32:01
1
chumila jr :
wewe auna utajili wowote fala wewe
2025-07-10 07:03:04
0
nusu mtu@ :
Yani Kil mtanzania angekuwa Kama wewe kaka tungekuwa mbari Sana kila mtu afanye Mambo yake jmn kikubwa pesa