@upendo.r.centre: "Mazoezi ya viungo yameleta tabasamu na nguvu mpya kwa kila mtoto. Tiba ya mwili na moyo!" #TibaYaViungo #MazoezikwaAfya #FurahaYaWatoto #UsonjiNiNguvu #UpendoHaufi #WatotoWanaweza #KilaMtotoNiMuhimu #Jamiilnayojali
sio mazoezi tu ataka kama unamtoto ambae asimami atembe yaani kachelewa unaamka mapema unaenda ziwani unachima unamsimamisha kila siku atimae anaaanza kutembea
2025-05-08 09:37:49
14
Rachel Mbilinyi :
asiwe mwanangu patachangamka
2025-05-08 05:41:59
5
522211 :
mna patikana wapi
2025-05-08 07:41:12
3
wenc Princess :
nwanangu ilimsaidia☺️☺️☺️
2025-05-08 07:46:28
2
Ester Bryson :
Mungu bariki wamama wote tunapitia mengi🙏
2026-04-25 02:16:49
0
Nasra Mchora♋️ :
natakiwa niamke saa ngapi bint yangu hatembei na kamto kamenipitia barazani
2025-05-09 14:43:02
0
luckness justine :
dokta mwaangu miak mitatu hatembei niko kwenye tiba hii pia
2025-05-09 11:00:02
0
Mamalao classic :
muko wapi mombasa
2026-02-02 13:47:40
0
cute tuma 😘❣️😘❣️😘 :
hiyo n kw watoto maalumu hata wangu alikua anafanyiwa na saiv anatembea mbona
2025-05-08 04:58:03
1
user48284508414498 :
hongereni Mungu azidi kuwapa maarifa ya kuendelea kuwasaidia watu maana sio kazi rahis inahitaji moyo sana yote kwa yote watu wanapata kupona
2025-05-08 07:47:53
2
Tedii Tedimkisii :
lijitu lingine alijitambui litaanz kutukan hoo mtot ang bas mtibie weweee watu wanatup maharifa ap at tukiwa nyumban tunawasaidia watot
2025-05-08 08:54:17
2
namsi hamsi :
mungu awape nguvu na awalinde ndugu zangu🙏🙏🙏
2025-05-08 06:42:26
3
caren conta :
uyu mama alivo bize kufukia sasa uyu mama akifika miaka hamsini mnitafute niwambie nilichotaka kukisema
2025-05-08 10:52:50
0
far :
ni lazma iwe mton?
2025-05-12 11:02:01
0
salha saidy2 :
we mama mnafanya nni apo
2025-05-07 19:44:18
0
liyah🌺 :
naomba namba zenu
2025-05-12 09:55:52
0
tina :
jamani,ingekuwa sehemu kavu na si kwenye matope kama hivo maana kuna wadudu wengi wa kwenye maji/matope
2025-05-12 07:18:27
0
felicity :
mko wajiga sanaaaa
2025-05-10 08:07:20
1
hunaina :
wangu ana mwaka na mwez mmoja... nataman kujua unamueka ktk shimo kwa muda gani? @UPENDO_REHABILITATION_CENTRE
2025-05-10 13:19:02
0
Amosi mwaipopo :
Na utaratibu wenu ukoje, tafadhal naomba majibu
2025-10-14 18:38:04
0
Chirstina raphaely :
mm nin mdong wang anatatiz hilo anakaa tu je naoataje mafunzo hay@
2025-05-10 15:24:49
0
mama naomi :
mnapatikana wap
2025-05-10 23:05:43
0
jose...prime :
hii ni ufala😅😅😅....kama mlikua mnata kumzika si mngesema tu