sijawahi kuwa na hamu ya tendo tangu nimezaliw na sijal🤣🤣
2025-05-28 19:38:59
75
husseinafyaclinic :
TUMIA MCHANGANYIKO HUU KAMA UNAPATA DALILI HIZI ZA MAAMBUKIZI KWENYE VIA VYA UZAZI.
🔥🔥🔥🔥🔥
2025-05-12 07:32:08
15
Shany Liz :
number pleasant
2025-06-02 15:09:44
2
Vaileth❣️🌹 :
mim Sina hamu yatendo la ndoa pia napata maumivu makali wakat wa tendo na uchafu sehemu za sili pamoja na miwasho nisaidie doctor
2026-08-10 08:01:34
1
lizzybet :
hzo dalili ninazo kabsa ,,dokta nielekee dawa
2025-05-08 17:53:16
54
ma twinci :
daktar me naomba namba sasa ivi ninashida sana mungu aleta muda sahihi kabisa
2026-04-02 17:52:07
2
swaum :
Nina fangas isio pona doctor nikeshakunywa dawa zote unazojua doktar zote ambazo huwa unasema nikabadili na chupi lkn wap nawashwa Sana uchafu km maziwa mtind ila haunuki ata homoni pia siko sawa
2025-05-11 19:22:35
14
Momh_Gee🦋🌹💍 :
naomb nielekeze daw doct nateseka. mno
2025-05-09 08:40:47
12
irenefrank66 :
tupe namba
2026-02-05 13:39:09
1
croyance7 :
tunaitaji dawa kaka yangu miye naaja yayo kwanza tusaidiye
2025-05-14 18:45:51
2
MOM E'S :
Hussein hussein
2025-05-13 08:07:57
1
Zawadi Mwandu :
dalili zote hizo ninazo zinanitesa sana nisaidie
2025-05-08 11:08:52
15
Lucy254 :
doctor 😭 please 🙏 nisaidie aki me wakati wa tendo hua natoa damu mingi sana na kuwashwa sehemu za Siri
2025-11-02 20:05:16
1
Daniel :
uya
2026-01-01 22:55:51
1
Yohana Lakala :
katika hizo zote sina hata moja 1 asante mungu3🙏🙏🙏🙏
2025-05-08 16:34:28
7
kahindo ushindi@ :
naomba namba
2025-05-13 17:05:56
1
sasanga uwamahoro :
mbona sasa hamusem dawa jamani
2025-06-20 08:05:47
1
mwasham said :
mbona mnatuchanganya sasa🥺🥺🥺hizoh dall ulizosema wengn wanasem PID wewe Tena wasema maambukiz ya via vya uzaz au ndo PID yenyew🥺🥺🥺🥺,kila mtyu doctor wa magonjwa ya wanawak 🥺
2025-05-08 10:29:18
11
beib :
amen 🙏🙏
2025-07-08 09:44:16
1
shukrani :
tuma nambayako stp
2025-07-04 09:59:25
1
kayla tutei :
tusaidie namba
2026-02-05 19:08:05
1
Ibrahiim Cosmas :
dokta
2026-02-10 10:55:29
1
munirahussein96 :
mambo
2025-06-19 07:43:24
1
anii :
nakupenda
2025-07-09 20:50:38
2
Christine Teresa :
naomba naomba yako
2026-02-06 13:24:09
1
To see more videos from user @husseinafyaclinic, please go to the Tikwm
homepage.