@winnieskitchen2023: JE UNAPENDA KUPIKA NA KULA CHAPATI LAINI ? HOW TO MAKE SUPER SOFT AND FLUFFY CHAPATI LIKE A PRO . Kupata chapati laini kunategemea mambo mengi ambayo yanategemeana , Winnie's kitchen tuna tips techniques ,hacks and tricks za KUKUSAIDIA kupata chapati LAINI HATA ZIKIPOA🔥🔥🔥👌👌. HAYA NI BAADHI YA MAMBO UNAWEZA KUYATUMIA KUPATA CHAPATI LAINI . 1.The science behind chapati MAKING . Ina play big role kwenye kupata super soft chapati ukiboronga hapa basi umeboronga kila kitu tunafundisha darasani,we go deep 🥰🥰🥰😍😍usipange kukosa darasani. ✅ Ukandaji wako wa unga , donge la Chapati kuna namna ya ukandaji wake haukandwi kama Maandazi wala mikate Wala halfcake Wala Visheti ( we go deep darasani in short chapati dough huwa inachanganywa na sio kukanda ). 2. USE QUALITY INGREDIENTS NEVER USE MAHITAJI / CHAPATI INGREDIENTS ZA MOTO WALA VUGU VUGU KAMA UNA NIA YA KUPATA CHAPATI LAINI STOP ❌ USING WARM / HOT CHAPATI INGREDIENTS . 3.SIZE YA MADONGE YA CHAPATI . (Roll the chapati little thinbut not too thin or too thick the size / weight of chapati dough can determine how big or small the chapati should be). ukataji wako wa madonge ya chapati yanatakiwa kuwa na uwiano nikimaanisha ukubwa wa chapati uendene na size ya DONGE ukibugi hapa jiandae kupata chapati ngumu . HOW YOU ROLL YOUR CHAPATI . usukumaji wako wa chapati unaweza kukupatia chapati ngumu /laini pia zenye mvuto au zisizo na mvuto. 5. CHAPATI RECIPES AND INGREDIENTS UNAZOTUMIA. Recipes unaotumia kupikia chapati zinaweza kukupa matokeo mazuri /mabaya kama una recipe mbaya ambayo haina uwiano sahihi wa mahitaji tarajia yote chapati laini inaotokana na recipe iliyotulia yenye uwiano SAHIHI wa unga mafuta na maji . 6. JINSI UNAVYO BALANCE MOTO . moto unaotumia kuchoma chapati zao , moto una play big role kupata Chapati laini yenye muanekano bomba na iliyoiva vizuri sio mbichi au kupata chapati ngumu au chapati ambazo hazijaiva vizuri 7. JINSI UNAVYOPIKA CHAPATI ZAKO . uchomaji wako wa chapati unaweza kukupa chapati laini /ngumu pia unaweza kukupa chapati zenye mvuto au zisizo na mvuto . 8. JINSI UNAVYOTUNZA MADONGE YAKO NA UNAVYOHIFADHI CHAPATI ZAKO. utunzaji Madonge yako kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mapishi yako . 9.MAFUTA UNAYOTUMIA KUKANDIA, KUKUNJIA NA KUCHOMEA CHAPATI . Mafuta yanaweza fanya chapati zako ziwe laini , mchambuko , rangi nzuri pia kuwa tamu . 10. MKUNJO WA CHAPATI UNAOTUMIA. Mkunjo wa Chapati unaotumia kufanya tabaka unaweza kukupa chapati laini au ngumu . ukunjaji wako wa madonge unaweza kukupa chapati laini au ngumu . Hizi ni baadhi ya techniques , tricks au sababu ambazo zinasaidia kupata chapati laini, mchambuko au ngumu. ✅UKIJIUNGA KWENYE DARASA UTAFUNDISHWA ZAIDI SIRI 24 ANAZOTUMIA WINNIE’S KITCHEN KUPATA CHAPATI LAINI NA TAMU HATUA KWA HATUA ✅ UTAPEWA RECIPES KONKI ZA CHAPATI . 🥮🥮🥮🥮🥮🥮🥮🥮🥮. USAJILI UNAENDELEA NAFASI ZIMEBAKIA CHACHE KWA MWAKA 2025. HOW TO REGISTER FOR CHAPATI CLASS 2025: 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼. WHATSAPP ONLY +255783648198 FOR CLASS DETAILS AND REGISTRATION. Winnie's kitchen simply delicious cuisine 🔥🔥🔥👌👌👌😋😋😋 #flakyparatha #chapati #roti #foodphotography #cookingvideo #cooking # cookingvideos #cookingideas #recipes #wheat #butter #margarine #wheatrecipes #flatbread #bread #Foodie #foodies #AfricanFood #yum #yummy #foodporn #foodporngraphy
WINNIESKITCHEN2016
Region: TZ
Thursday 08 May 2025 09:16:45 GMT
Music
Download
Comments
angelie32 :
share ingredients plz
2025-05-13 11:39:24
3
vee :
aki mimi hupika zinatokea kama zile mkate za Yesu na disciples wake kwa last supper
2025-06-18 16:41:52
9
ශන්ති :
how to make
2025-05-21 20:18:42
8
Wanawake Media :
wanawake_media Ofa maalumu kwa Wanawake Wajasiriamali, Wanawakemedia inakuletea nafasi ya kipekee ya kutangaza biashara yako BURE kabisa!
2025-05-16 10:42:33
3
Wilbert Jastin :
wapi hapo
2025-06-14 12:13:35
1
Lewis :
who else realized food posting is met for the poor and hungry people 🤣☺️☺️☺️☺️😅
2025-06-24 11:12:50
4
sabrina :
tuelekeze jinsi ya kupika
2025-06-02 09:21:34
3
Amkon254 :
that's what I miss from my ex
2025-06-14 15:08:45
3
Triza Gakuha :
Weee.. Umekanda na maziwa na mayai ama? Tupee ricipe
2025-05-19 12:50:34
4
user7391276175792 :
unajua njaa niko nayo kweli
2025-06-19 10:04:25
1
zuu :
naomba kusoma, nalipia shilingi ngapi?
2025-06-13 14:09:23
1
Favour💐 :
share recipe
2025-05-16 10:42:32
0
Bahati :
Woiye napikianga watoto wangu mkubwa ananishow...WA mum mbona dad alikuacha
2025-06-14 14:40:42
1
nani mwigne amewatch akiwa jaa?
2025-06-19 15:32:29
3
muneyrah :
Hhabary ssamahan naomba nielekeze jinsi yakupka chapaty
2025-07-14 14:42:53
0
khadiza :
Mashaallah
2025-05-10 18:14:37
0
Namish Darts :
class inaanza lini
2025-05-19 12:47:12
1
user956552186349 :
aaante mungu akupe zaidiiiiiii
2025-06-19 08:51:38
1
galaxy ONE :
perghhh!!! cicah ngn kari kambing gurun plk tuh...gerrrrrrrrrrrr pehtu surrrrrrrrr🤭👍🤣
2025-07-22 05:26:52
0
asha marengusalum :
jamani. nataka. unifunze. jinsi. kuandaa. unga
2025-07-08 12:09:09
0
Mkata shombo :
tuelekeze
2026-03-12 09:21:37
0
midasR :
@ጠጧ
2026-04-27 07:58:45
0
van dijk :
recipe please
2026-02-06 10:35:39
0
🫀grace✨🌠 :
napenda kupka😅😅😅
2025-07-13 17:34:38
0
khadiza :
Naomba maelekezo unatia nini na nini
2025-05-10 18:15:01
0
To see more videos from user @winnieskitchen2023, please go to the Tikwm
homepage.