@eyes.wide.awake: Fumbo mfumbie mjinga, Werevu ataling'amua.... #spiritualtok #spiritualtiktok #spiritualitytiktok #Meditation #meditations #guided #meditation #meditationmusic #meditation101 #meditate #TikTokMentor #opinion #manifestationtips #manifestationtechniques #manifest #manifesting #religionpoisonseverything #tanzaniantiktok #Tanzania #kenyantiktok #uganda #talithakumitanzania #Dar #arusha #Mwanza #fyp #viral #bibile #zanzibar #CapCut
Talitha Kumi
Region: TZ
Thursday 08 May 2025 10:32:22 GMT
Music
Download
Comments
Fredy Komba :
kumbe ata sisi kuna maisha baada ya kufa????lakini wote hatujui????
2025-05-08 19:16:48
41
Angel :
hii nimfano wa hapa duniani tumefundishwa upuuzi et tukifa tutakutana moto yaan atuumbe tuje tumuuzi af aje atuchome🤣🤣🤣
2025-05-08 15:48:05
25
muha_msomi :
Hii itakuwa page yangu pendwa pia
2025-05-15 19:36:49
30
Scar✌️🇰🇪🇰🇼 :
you were really born for something ✔️✔️
2025-05-17 05:35:32
4
Follower of Jesus Christ :
good teaching story.I relate with eternity after death
2025-05-15 13:26:34
3
david mmbaga :
tutakapokufa tutamuona MUNGU
2025-05-15 17:44:34
8
moreen :
Asee asante MUNGU 🙏 kwahekima ya dada MUNGU yupo kila mahali nayupo wakati wote tupo katika mkono wake
2025-05-15 14:31:44
4
Athumani Kunjotar :
safi sana dada yetu
2025-05-15 09:08:58
3
GOAT :
super woman,very smart
2025-05-17 09:53:33
3
MEDARD2025 :
kwakweli hapa umeanza kunivuta
2025-05-15 20:18:49
4
Fidel EL :
nataka uwe mke wangu
2025-06-13 21:16:06
2
Official_Sharukhanbubu :
mama? unaamini Kuna mam? Mungu mbona hatumuoni unaamin kuna mungu,. code iko opened sana
2025-05-15 05:24:31
8
Symo kim :
This is so educative
2025-06-14 18:33:10
1
KING D :
dah!! wew dada mwalim mzuri sana
2025-05-15 09:45:39
7
shidashida685 :
anaongea mambo makubwa sana huyu
2025-05-12 13:22:15
3
DiRealDawson.. :
Akili kubwa
2025-05-14 22:53:00
2
Bugo boy :
ok hapo nimeelewa
2025-05-14 19:44:23
2
@kabeer2pac :
ok bien
2025-05-16 08:24:20
1
Florence Robert Kasege :
umenifikirisha zaidi
2025-05-09 06:51:38
4
val❤den :
ww unaumrigani? mbombona unaongea hekima mafumbo kama mzee
2025-06-11 14:38:09
1
Melicho Masengo🧢 :
Asante Mungu Kwa kuniletea mtu wa maana maishani
2025-05-16 07:43:30
2
freesoul :
💯🔥🔥malkia mim napenda sana kukuckiliza ifike mahal tujitambue ss nakupenda sanaaaaa
2025-05-15 01:09:54
1
Emma Newl :
I've cried I don't know why
2025-05-14 15:31:45
2
ukhty yu :
umeongea safi sana ila tuliza akily msikilizaji au mtazamaji utafaidika
2025-05-17 05:16:22
3
Has killer :
mmh
2025-05-09 06:15:51
3
To see more videos from user @eyes.wide.awake, please go to the Tikwm
homepage.