fundi uwo mfumo unaofundisha ww kwa mwanafunzi ningumu kuelewa timing huwa inategwa kwenye kaunta mbili za penetali nicheki nikupe mfumo laisi cyo uwo
2025-05-10 04:39:02
5
Kixau Junior :
syncronizer
2025-06-20 05:17:31
0
zaylaizer2 :
Hii haitaji shule kaka,, Unaijua Logarithm wewe mkuu tulia😂😂😂😂
2025-08-15 07:05:14
1
BARAKA《Senior Mechanic》 :
unatengeneza za mchina tu
2025-06-29 10:26:40
1
hailedemmanuel :
hiyo elimu Mimi naiheshimu sana sana kuliko elimu yeyote big up sana brother
2025-06-28 16:11:08
2
mwalimukashasha58 :
kevin hy prenentar gar gan alafu vipi ukiweka bila kuhesabu
2025-05-09 12:05:49
1
ramadhani shabani :
2025-05-12 17:40:13
1
Twahiry Lema :
iyo men shafti nayo inataiming au aina fundi
2025-05-09 14:51:28
0
#ItisFLaVy :
Hiyo kauli ya kusema wanaoingia kwenye ufundi ni wajinga inanikata moto sana maana ninavyojua mimi kwenye ufundi kunataka akili nyingi sana
2025-05-11 06:26:45
0
Denis Derick :
Hauelewek
2025-06-08 18:36:17
0
Mr wallet :
ufundi saiv bila kuukalia darasani kuna sehem lazima utachelewa kuelewa
2025-05-11 02:35:08
0
Stanley David :
hiyo 4 unayotoa ni nini na kwann utoe
2025-05-28 21:05:59
0
user55742984628282 :
waambie esabu haikwepeki
2025-06-06 16:40:32
0
LeGrand DRIVER :
Unapatkana mkoa gan mkuu
2025-05-09 12:59:19
0
van Bassu :
upo buhigwe au sehem ip?
2025-06-07 09:59:19
0
Semydrive auto spare parts :
🔧 Nauza spare za umeme wa magari — bei nafuu, ubora wa juu!
🚗 Vifaa vyote vya umeme kwa magari ya aina mbalimbali vinapatikana.
📞 Nipigie au tuma ujumbe WhatsApp: 0677 028
2025-10-05 08:14:26
0
KING RAY🫅👑 :
uko wap baba nije nijifunze
2025-05-30 07:22:17
1
Stanley David :
hiyo nne ni nini
2025-05-28 21:05:33
0
@Rose-mnyamwezi :
@Lusi Julius:follow @Lusi Julius:gys nikuuzie magar mazur kwa bei naafuu .Tunamagari ya kila Aina makubwa na mdogo ..ivyo watu wa mikoa yote karibuni.
2025-05-20 11:16:25
0
Manuel :
Hhh ninao wajua kwenye hii fan ya Ugereji some friends wote wamesoma. na sijawahi kuwaza kuwa ni ya watu waliofeli.
na sioni tatizo kujifunza kwa kuhusu magari. Engene. Automotives. 🔥🔥
2025-05-14 10:28:31
0
user50751700878350 :
wapifundi
2025-07-13 16:12:04
0
Imran🇨🇩 :
hauku maliza somo letu tafadhali, video laku ingiza
2025-06-13 17:44:40
0
Belhomme Sasa :
devise engrenages part 2 pour les repair
2025-06-27 07:34:04
0
Imma Julius :
dogo hiyo kazi ulipenda hukulazimishwa safi sana
2025-05-18 09:56:32
0
manifongo GARAGE mwanza :
sasa hapo. kuna. maesabu gan. mkuu
2025-05-09 16:20:05
0
To see more videos from user @kelvinnduhije, please go to the Tikwm
homepage.