@nugaz22: Unyenyekevu na kutokujikweza ni moja ya Sifa ya Muisilamu na muumini wa kweli, Jipambe na sifa hiyo ili uishi na watu vizuri. #nukuuzawema #nasahazawema #ijumaakareem🌙
Maa Shaa Allah! Alhabib kaka ww napenda makumbusho yako 🤲🤲🤲
2025-05-23 04:52:04
1
Hbl :
Mashallah bro na appreciate sna unachofanya Allah akulipe dunian wafil akhera 🤲🤲
2025-05-09 15:59:10
16
rrakimz :
nilikujua through that quote which goes by :: Ishi namna unavyo ishi lakini jua siku moja utakufa we live by that quote
2025-05-09 16:02:52
12
Dikwe :
Tabia Njema ni silaha...barakAllah fiih akhy
2025-05-09 16:21:46
7
user302725935079 :
kaka siku zote huwa nakuombea pepo ya fildaus kwa elim unayo tupa leo nakusalim asalam aleykum mungu akupe pepo pia
2025-05-17 20:29:33
5
David's samwel :
Kwakweri, you have spoken very serious words, may God grant us a good ending, may God accept you very much and may you be a great leader, insha'Allah, it will be good.
2025-05-10 12:12:15
3
jadiha ability :
shukran broo mwenyez mungu azidi kukuweka 🤲🤲
2025-05-11 08:23:15
3
Aimable Nsabimana :
🥰🥰🥰
2025-05-09 16:52:49
2
Anifa Rashid :
Shukrani 🙏🥰
2025-05-11 12:39:48
1
uchamungu :
mashaallah allah akulipe kheri
2025-05-10 07:22:16
1
Simai Mbwana :
Mashallahh Mashallahh ndio maana ukapewa jina la mkalimani kwasababu ya akili nyingi Allah bless 🙌 you
2025-06-21 06:37:02
2
khalid beloved by many :
hakika mwenyez mungu hampi neema yeyote mtu ila yule amtakaye weny elim ni wengi lakin nyiny ni wachache miongon mwa weng mwenyez mungu akulinde
2025-06-24 18:35:12
2
RUU🧚 :
MashaAllah tabaraka Allah... allahu'akbar 🙏
2025-06-25 17:31:44
2
Leyla 😘😘 :
Allah akupe maisha marefu🥰
2025-06-04 14:30:37
2
jf :
mashallah bro mung hakupe afy njema
2025-05-28 11:57:58
2
princesspmsaf :
Allah hu Akbar hakika mashaallah kakika darassa nzurii 🙏♥️
2025-05-29 06:31:47
2
saef :
Ahsante kaka
2025-05-09 16:44:45
1
Amy :
natabasam TU mwenyewe 🙏
shukran sana
Mungu akulipe heri🙏
2025-05-09 16:23:40
2
ffetty white :
allah akupe umri mrefu naakujalie daima uwe mwenye furah ww na famly yako
2025-06-03 06:13:52
1
ibraah messy✅ :
darsa huru
2025-05-09 15:44:30
3
Nehale :
Shukrani kwa ukumbusho
2025-05-13 07:58:44
1
nadra91929alsaid :
truee
2025-05-13 17:23:36
1
Matata Mfunami36 :
Am proud to be Muslim. Alhamdulillah
2025-05-13 17:28:35
1
Rashidi Omari :
amean
2025-05-13 18:39:30
1
dijah travel :
s aleykum brooh
2025-05-14 10:09:44
1
saeed_saeed :
Shukrani kw nasaha njema. ALLAH akujaalie khusnilkhatima.🤲🤲🙏 bro ❤️
2025-05-14 14:30:44
1
hitami :
admin yaarabbi
2025-06-02 05:30:19
1
Nishan💋🌹 :
💝💝
2025-05-20 15:35:10
1
jumanasalma :
🥰
2025-05-16 05:01:13
1
KHUDDAM :
@bob shack
2025-05-16 22:06:44
1
𝐍𝐚𝐬𝐞𝐞𝐛🌀 :
Ameeen 🤲🤲🤲
2025-05-18 06:15:30
1
🤍🕋رشيد جمعة☪️ :
جزاك اللهُ 🥰
2025-05-19 09:20:31
1
Edward Tolly :
Amin 🙏🤝
2025-05-20 12:34:23
1
Mariam.666 :
Nakupenda sana 🌹
2025-06-11 21:40:34
1
Arafa🌺🌺 :
Amme😍
2025-05-21 09:02:56
1
mfalme ahmad hassan :
nipo congo nakupenda sana mufti wg walay
2025-05-31 06:57:08
1
user2315406057261 :
Amiin
2025-05-23 19:41:58
1
Jamila Salim :
amin yarab
2025-05-23 19:43:00
1
razack ramadhan :
🤲🤲🤲
2025-05-30 06:47:00
1
mfalme ahmad hassan :
asalam aleykoum mufti wg
2025-05-31 06:56:30
1
Maryam💕 :
Amiin 🙏🏾
2025-05-10 09:18:22
1
jamila jamili :
😁
2026-02-20 07:17:03
1
JIBRIL :
🥰
2025-08-15 13:46:17
1
Nancy💓 :
shukran sana Allah akuzidishie khery
2025-05-09 17:31:57
3
@Swaleh :
MA SHA ALLAH.ALLAHU AKBAR
2025-06-29 08:03:02
1
W🌹🦋🇹🇿 :
👍👍🙏
2025-05-09 18:23:10
1
msomali_himself😎 :
Allah akuzidishie kila lakheri bro shukran🤝
2025-05-09 20:52:03
2
Amran 76 :
hakika Allah ni mkubwa ❤
2025-05-10 04:35:59
1
fatna :
saw
2025-05-10 06:08:44
2
To see more videos from user @nugaz22, please go to the Tikwm
homepage.