@blackpassy_comedian: Haya mafuta ni Kiboko sana kwa nywele zako matokeo ndani ya wiki mbili

blackpassy_comedian
blackpassy_comedian
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 May 2025 06:35:48 GMT
28836
731
60
11

Music

Download

Comments

memondonix
Memon Donix :
nini!! umesma dawa panya iko wenye chupa cheusi😂😂😂😂😂😂
2025-05-10 06:51:39
5
vinny49985
vinny :
Hatukusikii pia Tuandikie😳
2025-05-10 07:13:31
3
beingphiner0177
Mamy Tee💙 :
Mm nmeanza kutlyatumia nina wik tu nywele zinajaa jmn mbele zilikatika zinaota🙏
2025-05-14 08:41:49
2
blackpassy_comedian
blackpassy_comedian :
Niaitangaze biashara yangu jamani 😂😂mtaniuwa sasa
2025-05-10 20:41:54
3
angeljosefu5gmail.com
vanilla💕 :
ahaaa nimekuelewaaa umesema hayo nimaziwa yaunga misitumiagi Nina aleji😂😂😂😂
2025-07-16 17:51:42
0
haytham.abdul
cham baby❤🌻 :
bukoba Una wakala
2025-07-03 11:20:14
0
................l111
KIND :
UMEANZA KUHARIBU SASAA......
2025-05-10 06:55:14
1
zainarashidy6
zainarashidy615 :
unapatikana wp
2025-07-01 10:57:21
0
michkwils
Michkwils :
Udaseba 🤣 🤣? Siku sikiyi vizuri 🤣
2025-05-10 10:04:33
0
faymabakari435
Fayma Bakari TikTok? :
nahitaji hiyo dawa
2025-06-11 09:41:27
0
aysherlov
sweetpie :
hii ni kwaajili ya natural hair au hata ukiwa umeweka dawa haina shida unatumia
2025-06-26 06:13:15
0
deboralillymoshy
Debora :
nini?ubesema utanipa bure ya ofa?
2025-05-29 06:47:30
0
user2933001949818
Ruman :
mm nataka Niko Kenya nipe namba yakutuma pesa
2025-06-08 08:42:48
0
merry.js
Mm yassir 🌹💫 :
ila shogaa wewe unanywele nyingi sana sio hayo mafuta😂
2025-06-27 18:29:03
0
domini436
Rachel :
Mtapataje hayo mafuta nipo dar
2025-05-24 16:12:18
0
marykafugho
Mary Kafugho :
mafuta ni mazuri mno,Nina week mbili tu lakini nimeona mabadiliko,💐
2025-06-24 09:29:28
0
annastaziah86
annastaziah86 :
unatumia lotion gani dada
2025-05-24 11:34:33
0
sureyy03
sureyy03 :
udaseba😁😁😁
2025-07-05 07:18:13
0
kuruthumu.mmbali
princess ummy-chikwe❤❤❤ :
ila dad we nimzur sana hongr
2026-06-01 06:32:41
0
babess0003
Babe girly🥰 :
mm naitaji jmn ay mafuta
2025-05-12 16:23:32
0
dinaalfuled
DINA ALFRED :
mimi naitaji nipo nzega tabora
2025-06-11 08:13:40
0
tabassam.1976
naima Mohamed :
Umesebaje sijkuskia.. Ooohh nimekuedewa unaseba unataka kuolewa mwezi wa sita asante kwakutualika 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-12 00:09:50
1
princeb368
PRINCE B :
unasema ,ahhha big up
2025-05-10 14:38:05
1
zulfaalfan130
dullah maji jr :
shingap
2025-06-01 17:58:11
0
faymabakari435
Fayma Bakari TikTok? :
nipo iringa nitaipataje
2025-06-11 09:41:49
0
marykafugho
Mary Kafugho :
💐
2025-06-24 09:28:03
0
neema.baraka1
Neema Baraka :
😂
2025-07-03 20:35:54
0
winnie71s
winny73 :
Shingapiiii?
2025-07-05 13:10:11
0
zaibaby22
mrs Ismail ❤️🔐💛 :
💓
2025-07-08 08:41:56
0
user2992027786181
Flosa🤎🤎 :
unasema kwamba,mafuta ya kungarisha kipara🙃🙃
2025-07-29 17:20:22
0
tifa.baby1
TIFA BABY 💕❣️♥️ :
🥰🥰🥰
2026-01-05 17:20:25
0
royalhighness84
Moon🌙 Light✨🌸 :
udaseba 😂
2025-05-14 14:16:35
0
allyally388
Alimkalu :
Unasema!
2025-05-10 10:09:06
1
ken1youth
ramaa😋 :
Umeseba nywele ganii??
2025-05-10 10:27:44
0
mwashakasuleiman
Mwashaka Suleiman :
pia sisi viziwi
2025-05-11 15:13:07
0
rizzo_destiny
gift from GOD :
mnauza ngapi?
2025-05-12 10:54:48
0
rizzo_destiny
gift from GOD :
mimi naitaji mafuta ila nataka tuongee
2025-05-12 10:55:36
0
babess0003
Babe girly🥰 :
anasemaje huyuuuuuu
2025-05-12 16:23:18
0
wenddyfelix6
wenddy@felix :
🥰
2025-05-13 16:06:08
0
user93858077796012
kissa yusuph mwango :
naipayaje
2025-05-14 08:02:53
0
mwanaishabakari
Mona :
me nataka mafuta jaman
2025-05-15 09:40:34
0
adelaida.mwebesa
Adelaida Mwebesa :
hahahaha kumbe unauza dawa ya me nde
2025-05-16 06:39:26
0
nema.katana
NAURINE MARIAMU :
Oooo nimekulewahiyo chupa nindefu oooo 🤣🤣🤣
2025-05-23 06:47:46
0
zai.othman7
Zai Othman :
🥰
2025-05-23 09:45:09
0
salmabebi2
Salmash :
Nini..! Mi huwa situmii pombe😂😂😂
2025-05-23 13:37:44
0
alibinhalfan
ابو حمد من العين :
🥰
2025-05-23 16:22:45
0
To see more videos from user @blackpassy_comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About