mkifika vikosini kaaaeni na wakongwe tena wale wazee ndio watawapa mfumo watu wengi masikini walikuwa na ndoto za kuwa hivyo au wanao wawe hivyo Sasa inapotokea ww umeenda na wanajuwa umetoboa chuki hutanda African people ni masinichi wakongwe huwa hawaendi kwanza mzazi anakuja kukuona na kukusii juu ya kazi Kisha utaenda usiku na wasijue umekuja Kisha hakikisha umeniona inbox nikupe code hakikisha sehem ya kulala isiwe hom na kuondoka usiage na dem wako wa shule kitaa mkataee na pombe kunywa hakuna Kwa jumuia hakuna kufanya hafraha za kufrahi machungu hakuna kutoa pesa kutoka mfukoni,hakuna kwenda na gari ZINGATIA code hizo mengine ukifika nenda kwenye makaburi ya ndugu zako walimie Kisha ondoka usiwe nunda kitaa kuuza sura kutamba kupiga mtu kujitunisha kuruka sarakasi juwa upo kwenye Dunia ya watu wasio kuhitaji ila ww unawahitaji Nina mengi ya kuwaasaa but it's all about time
2025-05-12 03:59:42
558
TAJIRI MSISI :
mwamba amehitimu yar 29/4/2025 juz kapewa likizo kafika kwao kichwa tu amefariki ,yaan hajala hata mshahara hata 1
2025-05-11 15:32:26
361
Kassim tenda :
acha sifa we paka askari gn ww mchumba t
2025-07-16 19:09:23
0
Eliza collection🥰 :
daah 🥲🥲 nakumbuka mdogo wang nmepambana kumsomesha kafika jesh kaajiliwa kafanya kaz kdg to kawa chiz🥲🥲 binadam n wabaya sana
2025-07-16 13:52:45
0
user949216568718527 :
bina dam awana mana jitiada akili guv zake ila bado wame mtanguliz na shilik mungu ata mlipia dogo
2025-07-20 17:15:10
0
Double J ☠️🇹🇿🪖 :
kwa heshma familia
2025-07-14 21:55:17
1
KALASHNIKOV❤️🇹🇿 :
Wamemaliza Kozi juzi juzi tu tarehe 29/4 hapo. Kaugua ghafla tu Malaria na ni baada ya kupangiwa Vikosi vyao vya Kazi.
AMINI USIAMINI: NDUGU BAADHI HAWAPENDI MAFANIKIO YAKO.
HuweI elewa. R.I.P Boy🇹🇿
2025-05-11 22:23:48
135
jokertz4 :
Baba aliwahi niambia,, ukitaka kufanikiwa Nenda mbali na nyumbani pia ukifanikiwa huko mbali kuwa adimu kuja kuja nyumbani……..mwanzo nilidhani baba haitaji niwe kalibu na Familia ila nilipo maliza chuo ndo nilielewa Nini Baba alimaanisha…RIP Mwamba😞🥹
2025-05-12 17:01:28
113
Furaha halisi :
mwanangu anapenda jesh ila mpaka SASA sitaki aende
2025-07-16 11:51:53
0
ngosha zagamba :
Adui yako ni yule anayekujua.. adui hatoki mbali
2025-05-12 19:23:55
3
mom! Lisa Dickson..❤️ :
mm ndio maan sija soma maan ninge soma tu saiv ningekuw nishazima zaman sana😭😭
2025-05-12 20:11:53
8
Officiallenath :
deti Kagera nkanda itakukumbuka sana 825kj rip kamanda
2025-07-02 10:29:27
0
KILIMANJARO_TRAVELER :
Kama unaamini Mungi ndie mkubwa wa maisha yetu sote gonga like hapa
2025-05-12 18:29:33
40
Madamkutona :
ndio mana nimekua mzito sana kwenda home najua familia yangu wananimic ila inabidi tu niwe pole wanangu wananimic Nawamic pia ila daaah😭. Mungu akupe pumziko la milele Baraka😭😭😭🙏🙏
2025-05-12 19:49:31
5
official Naila🥰 :
Jaman mtu umepata kazi unaenda nyumban kufanya nn😒 watu hawatakag kuona umewazidi
2025-05-12 07:16:18
4
Amosi Joseph :
Africa tunajua kwenda nyuma siyo mbele
2025-05-11 20:53:51
3
jescarji1 :
pumzka kwa Aman soldier🙏
2025-07-11 07:23:55
0
Tsar hussein :
kwan amepata ajali au imekuwaje
2025-05-12 11:22:45
14
dj judah :
Kihangaiko apo
2025-07-09 20:51:13
0
stoner :
nimeumia kweli rest in peace.daahh inauma kweli Dunian tunapita mungu akupunguzie adhabu soldier 🥺🥺
2025-05-12 09:49:26
3
CHIKOMATI :
NGOJA nitoe somo make Mimi ni mpitanjia tu na Wala sivungamani na upande wowote Iko hivi mungu alimchukuwa Musa na kumuweka Kwa nyumba ya wa misiri Kwa mfalme farao mungu alikuwa kuwa Musa ndio mkombozi wa watu wake lakini mungu kamuweka kuwa KIBARUA wa farao bila ya kujuwa farao anafuga mamba kwake ambae ni Musa na mamba alipokomaa alimgeuka farao mungu alificha Kila kitu Kwa Musa kwani Musa alikuwa mdogo hivyo mungu alikuwa kuwa endapo atamuonesha nguvu zake adui alikuwa mkubwa angewe kumdhofisha hivyo mungu alisubri Hadi Musa alipokomaa ndio mungu akampa nguvu za uwezo wa kupambana Nini umejifunza , moja kabla maono Yako hayajakuwa usitangaze ficha maono Yako angalia unaona Bado ww huwezi kupambana hii nayo ni fundisho Kwa family zetu za kiafrica usitangaze mali,ufahali,ulijali ili Hali bado ujajizingira na huna watu wakukushitua kuwa unapoenda utaanguka hivyo naawasaa ndugu zangu raia wenzangu tufiche maono yetu vifo vipo sisi wote ni wake mja lakini ZINGATIA code why always kizazi hiki but why wazee wetu nao walikuwa hivi je tungewakuta ZINGATIA code
2025-05-12 08:24:15
40
rolah 📍♥️ :
pole mwaya
2025-07-13 10:20:32
0
Ray the don :
dahhhh pumzika kwa aman
2025-07-08 09:24:56
0
jay mwanja :
daaar broo kifo cha huy mwamba kimeniuma sana polen sasa RIP SOJA MWAMBA KATIMIZ NDOTO KISHA KAONDOKA
2025-05-11 12:31:54
28
Hope John :
Daah R.I.P wa depo yangu mungu ailaze roho yako mahali pema Peponi 😭😭😭
2025-05-12 09:44:10
2
To see more videos from user @missdarling973, please go to the Tikwm
homepage.