@finestskincare: MIXA BODY CREAMS 🔸Mixa Cica Urea Repair+ (Body Cream) 75,000tsh Kutibu na kulainisha ngozi kavu kupita kiasi, yenye magamba au iliyopasuka. -Ina 10% Urea – huondoa ukavu, ngozi ngumu, na magamba. -Ina Panthenol (Pro-Vitamin B5) – husaidia katika urekebishaji wa ngozi. 🔸Mixa Bright Niacinamide (Body Cream) 85,000tsh Kuangaza ngozi na kusawazisha rangi ya ngozi isiyo sawa. Ina Niacinamide (Vitamin B3) – hupunguza madoa meusi, kuangaza na kurudisha mng’ao wa ngozi. -Hutoa unyevu bila kufanya ngozi kuwa na mafuta. -Inafaa kwa: Ngozi yenye madoa, ambayo haina nuru au iliyoathiriwa na jua. 🔸Mixa La Crème Cocoa & Shea Butter 80,000tsh Kulainisha na kuifanya ngozi kuwa laini na yenye harufu nzuri ya cocoa. -Ina Cocoa Butter & Shea Butter – lishe ya kina kwa ngozi. -Ina harufu tamu ya cocoa, cream ni nzito kidogo. Wenye ngozi kavu sana hii inawafaa. 🔸Mixa La Crème 100% Vegetable Origin (Body Cream) 80,000tsh -Hutoa unyevu na kulinda ngozi kwa kutumia viambato vya asili. -Imetengenezwa kwa viambato vya mimea 100%. -Hypoallergenic – salama hata kwa ngozi sensitive sana. Inafaa kwa: Watumiaji wanaopenda bidhaa za asili, ngozi sensitive , au wanaoepuka kemikali. #foryoupage #fyp #mixacicarepair #mixabrightniacinamide #mixalacreme #finestskincare #skincarecommunity #skincareproductsthatwork
finestskincare
Region: TZ
Tuesday 13 May 2025 20:37:37 GMT
Music
Download
Comments
Juliana :
unapaka mpk usoni?
2025-07-20 16:38:41
0
stronglady690 :
How much
2025-06-23 01:37:44
0
Uncommon Dodo Glass look :
zinaokekana nzuri sana
2025-05-14 16:35:14
1
heureuse kgl :
uko wapi?
2025-07-20 18:20:58
0
eileenlindanjakal :
Bei gani my dear
2025-05-14 14:32:17
0
Pamelah Kwayu :
wanawake tunahekaheka jmn au ndo nitafte hela niache wivu😂😂😂
2025-05-15 12:40:57
0
Lucy Tz :
ipi inatoa madoa?
2025-09-29 16:16:13
0
finestskincare :
Mixa repair 75,000…mixa bright 85,000 hizo nyingine 80,000
2025-05-14 15:53:52
1
user6962717988209 :
unapatikana wo dada
2025-05-24 13:10:42
0
user3956963087334 :
no yk
2025-06-13 10:18:05
0
luvlux :
🥰🥰🥰
2025-08-21 20:48:27
1
AYLA🥰🥰 :
🥰
2025-09-25 04:04:00
0
To see more videos from user @finestskincare, please go to the Tikwm
homepage.