@hearing.gods.voice: Mambo matano (5) ya kuzingatia kila mwezi! #playlist#kuomba#dhambi#toba#service#biblia#pastortonykapola#tiktokchurch#kenyantiktok#tanzaniatiktok#tiktokuganda#Imani#Msamaha#God#kusali#nyakati#kuomba#bibliar#roseshabokabiblianotiktok
je kam unafunga kila mwisho wa mwenzi siku saba za mwisho
2025-05-14 07:30:00
0
@grace karata :
Sina ata Cha kusema Lakini Mungu akubariki Mtumishi kwanzia nianze kukufwatilia sijawahi kujutia unafundisha sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-05-14 06:51:08
192
BeingKenzo__ :
Yani tangu nimeanza kukufatilia nimebarikiwa sana kwakweli,Mungu akulinde wewe kaka umekuwa mwalimu mzuri sana kwangu kunijenga katika imani🙏🏻nimejua kuomba kupitia wewe
2025-05-14 08:16:09
81
momostore1 :
Nashukuru sana siku 7 za mfungo mwezi wa 5. Nimejibiwa ombi langu la mda mrefu 🙏
2025-05-14 10:53:49
30
Barbiekidifu :
ameen
2025-08-10 02:51:54
0
hapi :
Niko naroho ya rejection aki
2025-05-14 06:56:20
5
cuterwanda5 :
Amen
2025-07-07 18:22:37
0
Miss_Sharon🌸 :
@sheszionn_: Hesab 28:11 💗 first seven days fasting, ufunuo, hekima, kukuza uchumi, mahusiano bora, familia ❤️IJN Amen 🙏🏽
2025-05-14 08:10:50
51
remmie :
madini sana!!! 🙏🙏🙏
2025-05-24 11:50:28
2
Laus Nkobhanyi :
Mungu akuzidishie baraka na afya tele kufundisha gen Z 🫡🙏🙏🏼
2025-05-16 20:39:03
2
ur favorite ♥️🌹 :
mungu akubariki apostle
2025-05-27 03:55:03
3
Wamilulu :
mungu akubariki sana napitia mitihani mingi lkn unabariki moyo wangu sana.... mungu akubariki sana🙌🙌
2025-05-14 06:37:39
11
Mr's peace :
Mungu akubariki mtumishi🙏🙏
2025-05-26 19:51:16
4
Mishy Mbaruku ♓ :
we Kaka mungu akubariki kwakweli mana unaupako ndani yako na nje yako sijui kanisa lako likwapi🥰
2025-06-02 05:59:48
2
zuena mapendo :
Amen Asante ubarikiwe
2025-07-23 13:58:20
0
Esta Dominick😘❤️ :
napokea kwa imani🙏
2025-06-11 08:41:53
0
user09rvgobdbx :
Amen 🙏🙌
2025-06-29 06:12:13
0
BLACK PYRAMID 👽 :
Amen kubwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2025-06-25 18:50:20
0
hanifaidd427 :
ameen
2025-06-23 12:38:29
0
Judy :
AMINA🙏🙏🙏
2025-06-22 08:56:28
0
toussaint tchika :
Amina!!Asante
2025-05-15 21:00:37
0
To see more videos from user @hearing.gods.voice, please go to the Tikwm
homepage.