mtu unamheshim ana kipara na anavaaa suti kumbe mcheza singeli😎
2025-05-14 20:08:05
25
Ikongo Ijina :
HATUNA LA KUSUBIRI, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE OKTOBA TUKATIKI WAKUU ACHANA NA HAWA NGEDERESI ✅️✅️✅️✅️🔰🔰🔰
2025-06-28 11:56:15
1
super woman raymummy2 💪💪 :
me nampenda uyo mzee sana waly Kama anacheza ivyo je kitandani😂😂😂😂😂
2025-07-23 21:38:50
0
super brand oils :
vitako vyenyewe kama ugali wa buku
2025-05-15 07:37:37
2
Blackman :
Mungu ni wetu zote , usikate wire- Gawain with it 🤩✊🏿✊🏿salute mi General 🫡
2025-08-01 09:58:46
0
user5512818235594 :
Unaitwa je huu wimbo YouTube
2025-05-17 05:07:53
1
paulmasunzumasibu :
mtumishi huyu aliyevaa kombat ya kijeshi yeye ananibariki sana
2025-05-14 14:55:56
11
rosemary :
tunaenda wap jamn mwisho umefik
2025-05-18 17:07:39
0
Tina Yona Luhabula :
unaitwaje huo wimbo
2025-05-14 09:21:36
0
Josee lalo :
uzeembee Tu huu
2025-05-16 11:10:06
0
Catherine Joseph :
Hii vibe fire 🔥
2025-05-16 16:30:37
0
aishasefu7 :
singeri kanisani
2025-05-14 17:08:44
0
user5548914905270 :
hamna song ingine sio
2025-05-17 07:10:58
2
user5711454425049mlugejr :
kanisa lipo wapi jamani nikacheze singeli ya yesu
2025-05-14 21:05:34
2
adinani, bin, fadhili :
tayar hapo atuna afande muhun uyo
2025-05-18 12:49:36
1
user4711109780504 :
mengi alipitia.leave alone.ni mungu pekee,waja....
2025-06-16 11:21:24
0
ardinn :
kaka usikatishwe tamaa na hao wanaosema eti nyimbo gani hii naomba wajibu kuwa sisi tukifa tukifika mbinguni kwa baba yetu tutaimba kucheza na kurukaruka hapa nilipo nimecheza hii nyimbo nimelowa jasho nikahisi tayari nishafika mbinguni naitwa rose, kaka mungu akulinde
2025-05-18 06:19:39
1
Sawdo Sawdo :
usikatee tamaa brother🙏🙏
2025-05-14 09:51:08
0
Neema Ndalahwa :
Amen🙏
2025-06-21 20:40:11
0
@kambua :
Iike the dressing
2025-05-17 18:19:18
0
happy nkini :
ufike mbali na kipaji chako usikat tamaa
2025-05-14 09:31:58
1
Satweve Mtweve :
Huu wimbo kaniimba mm kabisa sijui ananijua huyu 😂
2025-05-14 09:20:52
5
strong woman 👩 💪 :
nakukubali
2025-06-24 20:13:28
1
Lindah 25863214580963251478523 :
pin location plzzzzz tuokoke
2025-05-15 07:35:27
3
To see more videos from user @piuswilson1, please go to the Tikwm
homepage.