@iamlovenes: kanifurahisha huyu babu jamani ebu msikilizeni 👂👂

zenna mgogo 🇹🇿❤
zenna mgogo 🇹🇿❤
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 May 2025 06:18:01 GMT
310899
8587
1074
2620

Music

Download

Comments

mnyausi8
mnyausi🥑🍉🍇 :
wa mpwapwa mje apa
2025-05-17 12:12:22
48
malkiawasimba.mal
Malkiawasimba Malkiawasimba :
UYUFALA NIMEMPENDA BUREEEEEE WAGOGO MBARIKIWE NYIMBOZENU NAZIPENDA JAPO SIO MGOGOMIE
2025-05-17 11:59:02
20
voisaclassic92
voisaclassic92 :
Vocalist
2025-06-15 21:14:32
0
kapaito07
mr kapaito_tz🥜✅ :
wagogo wa ndurugumi tujuane hapa😂😂🤣
2025-06-18 08:55:44
6
eze.majaruba
Eze Majaruba :
Tanzania kuna kabila moja tu (wagogo tu)😂😂
2025-05-17 08:13:45
13
ajjutz
AJJU :
nimekutana nae pale mipango chuo pale nimempa buku tukaanza kuimba wote 🤣🤣🤣
2025-12-20 14:07:58
2
queenbryan7
queen❤️ :
Mbori duuuuh ndio kwetu
2025-05-17 18:52:56
14
mombo720
SAKANA 🇬🇧🇬🇧 :
Good 👍👍👍
2025-06-24 18:59:11
0
thomasdaud43
Thomas Daud :
😂😂😂so proud of you
2025-07-02 07:14:36
1
mdimtz
it's me :
😂😂cjackia vzur ukionesha shilingi nn kinatokea?
2025-07-12 11:56:40
2
esther.mkumbo6
Esther Mkumbo :
babu mitano tena
2025-06-23 19:45:35
0
nedy414
nedy414 :
mim naenjoy kusikilz tu maan kunavitu ananivutia an kama alivo kua ananiimbia babu yangu 😂😳😳
2025-06-16 00:30:15
2
user32308529040625
sospeterpala@ Damas :
mzee umetishaa snaa
2025-06-23 18:03:46
0
mafrns
stella :
watani kwa vituko🤣
2025-06-16 10:14:00
0
user383021166128
[email protected] :
yalumbwe
2025-06-21 20:49:16
0
salmanassoro5
salmanassoro282 :
kwa kwel nimeinjoy
2025-06-27 05:01:10
0
mr.dan268
Mr Dan :
Ukimwonyesha shilingi ale Michele mbona Mpunga eeh!
2025-08-07 18:30:42
2
sixog6
six OG :
kinanda chake kasahau sokon pale
2025-06-21 20:05:51
2
irene_emmanuel
irene_emmanuel💟 :
owiiiiiiiiiiiiii🥰🥰🥰
2025-06-30 18:59:54
0
vocry845
Cry vo :
ila kama Kuna kaukweli vile
2025-06-08 06:38:56
2
julliedavie644
Jullie Davie644 :
😅😅😅kuwa mgogo raha jamni,, najivunia kabila yangu 🥰🥰
2025-05-17 08:57:06
4
kazimchuwa276
Kazi Mchuwa :
Huyu katoroka mjini, mwenye babu yake aje huku aone
2025-07-12 23:18:29
0
mwani97
Mwani :
jaman hiyo Saudi angeenda kumuimbia Mungu kwaya
2025-06-13 11:40:58
0
user3094341040458
zaitun tajiri :
inatakiwa hapelekwe situdio maana kipaji anacho mpaka nimecheka mwenyewe babu kanifuraisha sana😁
2025-06-22 05:09:16
0
To see more videos from user @iamlovenes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About