@vance_wrld: #Lifestyle #FoodLover #tiktoktz🇹🇿 #tiktokenya🇰🇪 @jaymelody @BENSON @saintmuchacho

BONGE
BONGE
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 May 2025 16:25:30 GMT
210647
12670
479
362

Music

Download

Comments

ceekayvisualz
CEEKAY VISUALZ :
Huyu anajua kupika waaaaah i need more classes😂😂😂
2025-05-17 01:55:02
37
lee5281
Lee homedecoration :
Ningekuwa jirani yako siwezi fua kwa mikono nitavunja tu ilo kufuli
2025-05-17 05:05:25
126
dramaqueen7008
❤️•••••🦋🥂 :
Na unenepi😁
2025-05-16 20:06:34
23
officalmoni
Officially MONY :
Sasa sisi tunaojua kupika kipaji tukipeleke wapi 😂😂
2025-05-16 17:50:49
24
hamimu_8
Hamimu :
hivi kwann watu tunao kula vizuri huwa hatunenepi unaejijua kuwa hunenepi kama mm njoo tuwe marafiki 🥰
2025-05-17 08:00:35
76
cherly9600
cherly :
Ogopa sana mwanaume anejua kupika dada ukilinga tu kwisha habari yko
2025-05-17 09:20:35
16
dianatz04
dianatz04 :
😂😂Yaani sahiv maisha ni 50/50😁 wanawake tulikua ndo tunaweza usafi na kupika ila sahv wanaume wasafi na wanapika kutushinda aiiii😂
2025-05-18 09:10:30
17
zwilly.jr
zwilly jr :
Noma San
2025-05-17 08:20:33
1
benithakarugaba
benithakarugaba :
hao watoto ungewapeleka waonje Hilo pishi😂😂😂
2025-05-16 17:13:23
15
nellyhopply
Nellyhopply :
yaaaan😂😂😂ifike kipind tumalize tofauti na miili yetu ni fedhea
2025-05-17 17:19:19
5
debbra.de.nice
Dee🦋 :
unavunja moyo wake, akipika akila kakusahau😒eniwei nialike
2025-05-17 20:07:49
2
wakubwa_inc
Iam_vash :
Balaa na nusu world😂
2025-05-19 01:57:59
1
glorypaul237
Glory Paul :
mbona unapika cha mtoto hapo 😂nioe mm uwone. .
2025-05-17 14:54:33
2
_obimo
_obimo🧿 :
Nimependa baada ya kushiba😂unaenjoy music🥰
2025-05-18 22:18:12
1
lyela032
Leyla💜🥰 :
kwan ulisomea mapishi maan unajitahidi
2025-05-16 18:22:16
5
officialconi1
Officialconi 1 :
Tuki com tuna com pazur unene wa nin ❤️😂😂
2025-06-04 11:37:22
2
salsha088gmail.com
Shaa🤎🌺✨ :
mwanaum anajua kupika mm nik t kusom comment 🤣🤣
2025-05-17 07:51:20
1
prettygi552
💜Pretty _girl💜 :
Nikaribishe nije kula 😋
2025-07-27 06:47:37
1
marie_hansen0
Mariverse 🌍✨ :
Mi naendelea kula kwa machoo🤤
2025-05-17 13:47:25
1
siwema.dady6
Siwema Dady :
Iko chakula kinavutia jmn 😋
2025-07-09 15:06:45
2
lamillahboo
Lamillahboo💕 :
Mi nkajua estokiziiii🤣🤣🤣🤣
2025-05-17 16:23:36
3
eysanking
lee :
ndo mana nkiulizwa kuhusu kupika hua nasema cjui.....
2025-05-27 09:31:32
0
chabyalonso1
chabiy alonso :
Kikao cha wanaume kijacho uje na mzeee wako 😁
2025-05-17 09:09:19
3
hilalizospace
hilalizospace :
BONGE HUOI MWANANGU😂💔
2025-06-12 23:08:14
1
__lou22
~LoU~⏳ :
alafu hutuonyeshi cameraman amekula nn😂😂
2025-06-21 14:26:36
2
To see more videos from user @vance_wrld, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About