@luqsancollections: Huyu ndo abdulrahman hakuna mtu atakuja dubai asipite kwake 😍🤣🤣 mashallah mcheshi mnooo Anaeihitaji oud zake zipo dukani kwetu karibuni sanaaa tangi /kopo kubwa 200000 nusu tangu laki 1 Halioud 15000 #tanzania #f
Luqsan Collections
Region: AE
Friday 16 May 2025 17:03:26 GMT
Music
Download
Comments
chezelle52 :
ukifika Dukani kwake Deira Mashallah Mkarimu sana , anaweza kuacha duka lake akakuzungusga ww upate utakacho.
2025-05-17 19:29:05
3
Beyhive :
naomba number yake
2025-05-18 10:16:38
0
BINT KASSIMU :
vipi dereva ipo mana sisi makadam hatutoki nje nimependa huo udi na bei gani chupa moja hilo kubwa
2025-05-18 14:53:59
0
malakjabir0 :
kumbe sio tz ? hahahaha
2025-05-16 18:40:53
0
Kareem007 :
naona harufu mpaka huku imefika😜
2025-05-19 20:03:26
1
sallynao3 :
Abdul rahman mhuhuni dubai
2025-05-20 10:46:02
1
Arafat Mohamed :
Abdulrahman😀
2025-12-29 13:52:16
0
Achrabi :
Abdu Rahman🥰🥰🥰🥰
2025-06-08 16:51:31
0
Bontel :
una misk nyeusi orginal?
2025-06-06 11:29:35
0
isha 🇹🇿 :
mpenzi nimmoja dr ngapi
2025-07-10 18:10:23
0
Cobby Classic Beauty & Fashion :
Abrahaman masha Allah Mungu akupe umri ahahaaa ukifika dubai hujenda Kwa abrahman bado hujafika dubai 😁😁😁😁😁😁
2025-06-26 10:26:21
0
ABU BANAT :
kila mwaka nazaa
2025-06-24 06:08:30
0
Ishahsasay :
deira duka la jina
2025-07-02 16:09:16
0
Mohamed Omar :
swaaaheeb Abdallah Al amoody 💯💯💯
2025-06-13 19:19:03
0
Naah Al kharousy :
ana mdomo mchaf hy😀😀
2025-05-17 12:25:58
0
chammy :
upo wap
2025-07-03 13:31:43
0
cutegirl precious 💖 :
duka lenu lipo sehemu gn
2025-05-19 06:19:17
0
Bontel :
abdulrahman nataka misk nyeusi akija mtu mpe na hiyo lotion nzuri sana😅😅😅. from Tanzania mke mkubwa😂😂😂.
Hatareeee kwa kweli unajua biashara😁😁😁.
2025-06-06 11:25:28
0
mozaabdallah3 :
😳
2025-06-24 09:48:45
0
Wahi Beauty Collections. :
🥰🥰🥰
2025-05-19 04:56:51
0
Mo :
🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-21 06:03:42
0
Nasraameir :
Anamatusi hatariiii😂😂😂kheee Ukitaka Utachekausitakeutacheka😂😂😂
2025-05-17 12:45:32
0
Maryam said :
naomba no yake abdulrahman pls pls
2025-05-18 21:43:20
0
S1•حماد🦅 :
naomba namba yake huyo mbaba wa udi hbty
2025-05-17 07:49:28
1
Miltonmunchies :
What is Di Maria doing here!!!
2025-05-17 23:22:09
1
user naz.mahboob :
huo udi wa sandal bei gani anauza chupa kubwa
2025-05-18 13:16:49
0
cute.mami1 :
Abdurahamani hujambo
2025-05-21 11:20:30
0
Nadya Azzan :
Duka lake laitwaje? Sijamuona Dubai
2025-05-21 14:03:04
0
Badriya Mansoor :
Dubei
2025-05-21 23:46:11
0
samira-Alajmi4 :
Akhy mi natka ajira nikusaidie kuuza☺️
2025-06-24 07:25:57
0
Firdhuin :
tupe no yake ya Dubai na location
2025-05-17 18:00:33
0
malakjabir0 :
anapatikana wapi jamani
2025-05-16 18:39:57
0
nameless 002 :
yuko wapi
2025-05-17 06:57:06
0
Arafah 0990 :
eti kila mwaka nazaa 😄😄😄😄
2025-05-17 08:16:37
0
dr_naoomiy :
Absurahman zangazanga 😂😂😂
2025-05-17 11:34:25
0
2mamudy :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-17 11:38:25
0
Sumayya Rashid :
Abdurahman matusi
2025-05-17 12:30:21
0
user6930573270076 :
😃😃😃😃
2025-05-17 15:01:05
0
tumaah17 :
😂😂😂
2025-05-17 16:38:55
0
Abdiii_xman :
😂😂😂
2025-05-18 14:39:05
0
Emmy :
babu bazazi huyo hahahah mradi ununue udi
2025-05-17 19:39:26
0
Mkione :
mashaallaah
✌️
2025-05-17 21:04:02
0
SacadaLuxuryAbayas&Modest Wear :
😂😂😂😂Allah amhifadhi MashaAllah
2025-05-17 21:26:56
0
munybakers :
fitna bei gni
2025-05-17 21:35:29
0
naah_flavour🇹🇿🇰🇪💍❤️🫶🔐 :
Kabisa abdurahmani ni pasua kichwa jamani 🤣🤣🤣🤣
2025-05-17 23:45:58
0
Malikha dizo🥰 :
yupo deira uyo kama ckosei🤩
2025-05-18 13:09:59
0
To see more videos from user @luqsancollections, please go to the Tikwm
homepage.