@thabit_baruani: #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #southafricatiktok🇿🇦 #burunditiktok🇧🇮 #malawitiktok🇲🇼

Mjomba Baruani
Mjomba Baruani
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 May 2025 19:00:30 GMT
94369
5211
83
34

Music

Download

Comments

fatihiya45
fatihiyaathumani :
kama imeshindikana diba na luka kutafutiwa kazi basi wauwawe🤣🤣🤣
2025-05-17 09:10:19
25
story_time_na_g
Story_Time🥰 :
lamata basi tuchange dibq na luka tuwafungulie biashara au mnasemaje🤣🤣🤣 watoto wa mama
2025-05-17 19:20:46
4
cecyahaya
cicy :
Ni REBECCA😂😂😂 au ni mimi macho yangu hayaoni mbali
2025-05-16 20:30:14
4
judithemmanuel8
Sorida ❤️✨ :
Ivii DIBA ni zezeta au Anna ndio mjingaa
2025-05-17 09:47:18
3
user2681573028332
Queen sarah :
kwani hapo Rebecca aliandika mi ata sioni vizuri
2025-05-17 06:55:20
3
mankaisrael667
Ellie..🎀🤍 :
diba naye alivyosimama kama tango
2025-05-17 16:43:28
2
dinnacollection0
Dinna collection :
imebid nizoom nisome sms ya REBECA😭😂😂😂😂
2025-05-17 08:01:51
2
hidaya.jumaa
hidaya_23🫶 :
kwani huyu diba karogwa au😂😂
2025-05-17 11:26:22
1
flora.mgao
Flora Mgao :
Anna kauzu🤣🤣🤣🤣
2025-07-02 08:37:03
1
winfridajosephy
🎀 Ms.Winfrida 🎀 :
mpaka makeup imekojoa usoni 🤣
2025-05-17 11:34:16
1
officialkingagirl
Officialkingagirl🇹🇿 :
Na huyu ndio esma wa Azam
2025-05-17 09:48:23
1
biblej6
bible@J& :
kwani sms inasemaje😂ninejaribu kuzoom imegoma
2025-05-17 09:38:16
1
wardaall1
🌹w🌹r🌹d🌹 :
Ana atajua ajui imekula kwake😂😂😂😂
2025-05-16 20:38:50
1
eve...24
it's eve🦋 ✨✨ :
huu ndo muda nliokuwa nausubr😁😁 pameanza kuchangamka
2025-05-16 22:04:22
1
user9334445168130
baloo :
unamtakia siku njema mnafiki wewe
2025-05-17 05:03:21
1
18amina_
AMINA :
🤣🤣🤣🤣☺️
2025-05-17 17:57:25
0
bernadettemwambu5
Bernadette Mwamburi :
😢😢😢
2025-05-17 16:57:33
0
goldenshanii4
Golden-shanii :
Yan Diba ukivaa nightdress huna maamuzi ya kiume kabxa hee😳
2025-05-17 19:08:50
0
angela.angela224
ms no mr😋 :
naomba mwenye anajua alichosema rebeka anambie😂😂
2025-05-17 19:42:27
0
neemaomar702
AuntNeema :
🤣🤣🤣🤣diba alivyomwangalia ana kama .amepigwa na shot ya umeme.
2025-05-17 19:49:11
0
magrethkabisi
magrethkabisi :
Anna utakoma
2025-05-17 21:49:30
0
franoise.jeanne
Emanuela :
Diba diba diba nakuita Mara tatu 😂😂😂😂
2025-05-18 03:42:20
0
story_time_na_g
Story_Time🥰 :
sasaje
2025-05-18 12:05:56
0
user91934574006196
rebekayyona :
yaan huyu diba kama mme wangu kabisa 🤣🤣
2025-05-18 13:06:41
0
To see more videos from user @thabit_baruani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About