@kienyeji_: 🐓KUKU PURE KIENYEJI KWA MATUMIZI YA MBOGA. 🐓KUKU PURE KIENYEJI WA KUFUGA (MBEGU ZOTE ZINAPATIKANA) 📚ELIMU YA UFUGAJI WA 🐓KUKU WA KIENYEJI. (unatamani kuanza biashara ya kufuga kuku wa kienyeji? Tupigie) Tunapatikana 📍Goba center 📍Iramba Singida (FARM) -TUNATOA HUDUMA YA KUCHINJA na KUANDAA KUKU KWA KUZINGATIA USAFI 100%. -FAST DELIVERY🛵🛺POPOTE ULIPO KWA KUZINGATIA MUDA⏱️ (Unapata kuku ndani ya dakika 30 Baada ya kutoa order) KWA GHARAMA NAFUU. KUKU PURE KIENYEJI KUTOKA SINGIDA NA TABORA WENYE UKARIMU WA ASILI NA LADHA YA KIENYEJI🐓 ❌HATUUZI CHOTARA❌ Tupigie ☎️0719221092 📞0768093642 #localchicken #chicken #hen #chickenbiryani #chickens #kuku #kukukienyeji #kukukufuga

Kienyeji
Kienyeji
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 May 2025 08:01:28 GMT
223567
3283
103
313

Music

Download

Comments

matayomabula
Matayokagete :
bei gani
2025-05-18 13:37:54
1
anwar_killer2
anwar_killer :
hawa wakienyeji lakin mnawafuga mnawapa chakula chakizungu sio
2025-05-19 07:15:19
3
user631852387304
user jonh praise :
location
2025-05-19 10:08:21
1
juvenaltemu
JUVENAL TEMU :
mbona mimi nkiweka majogoo pamoja hata kama walianguliwa pamoja wanapigwa sana
2025-06-12 13:26:22
1
user7859585171591
user7859585171591 :
bei gani
2025-05-19 06:14:28
1
massaweadam1
massaweadam :
hbr mmniko tbt nitaptje jogoo la mbegu
2025-05-24 11:38:54
1
kalluo3
mfaumemfinanga :
mnapatikan wap
2025-05-18 15:26:31
2
user4456063862435
hadjOg @@77 :
location please
2025-05-18 15:53:19
1
dyueaycn196z
mwaù196z :
bei
2025-05-19 17:02:42
1
kakemussa1
kake mussa :
vip huuzi mm nataka
2025-06-04 08:16:48
1
esha1163
esha :
vifaranga je mnauza
2025-06-09 17:12:00
1
skylarpurple1
user7975025797265 :
uko wap
2025-05-19 06:57:12
1
jesus.king889
Jesus tower13/7 :
unawapa nn hawapigan wangu wanauwana kabisa
2025-08-08 16:13:59
0
khamistwahirkhami
Khamis :
naitaji vifaranga
2025-06-08 17:01:40
1
user6316950785637
AP SAMMY WANISSI :
mna vifaranga ya 1 month nani how much nahitaji Kama 10 ya kuanza
2025-10-30 21:51:45
1
keringbabu
Kering💪 :
nisakie mnunuzi wa kuku vienyeji
2025-08-14 18:14:55
1
happinesskambanga
Ivian :
shingapi
2026-05-09 13:23:39
0
anwar_killer2
anwar_killer :
Yani mnawaweka mfumo wakizungu
2025-05-19 07:15:35
0
hafswa42
hafswa42 :
nahitaj elimu ya ufugaj wa kuku wa kienyeji
2025-10-14 09:40:35
0
boniphace.masele
Boniphace Masele :
nataka majike
2025-10-22 08:23:40
0
franciskorir54
frank :
location
2026-04-16 05:46:30
0
user9361858136115
user9361858136115 :
hello they look energetic
2026-02-16 19:42:10
0
zainabu.muhammad18
Zainabu Muhammad :
Hi am interested
2026-04-17 13:30:32
0
user6316950785637
AP SAMMY WANISSI :
sammy from Nairobi
2025-10-30 21:52:59
0
official_ntondolo
Official_Ntondolo :
unasfa husemi lolote hongera sana
2025-05-19 11:42:22
0
To see more videos from user @kienyeji_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About